ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
Jichanganye 😀Ha ha we nae
Jichanganye 😀Ha ha we nae
Kuna ka namna ukiwa domo zege unajipusha na mengiBwashe hivi huwezi kuacha ukorofi?
Sasa Gesi isiishe jamani 🤣🤣
kubabake 🤣 mzee unarusha punch line za kutisha..Nakuzimia sana wewe ShesRise_1
Sili wala silali nakuwaza wewe tu,
Nikubalie mimi mtoto wa Mwanamke mwenzako ili uupoze moyo wangu.
Sijawahi mkuu😁Wewe umewahi kutana na "domo zege"?
Sawa m tag basi ajeWife yupo humu namsikilizia aanze yeye kuchangia, ili na mimi nijue cha kuandika
Create your character first,
Ladies will love and come to you,
A man should prioritized building an attractive,respectable identity first,
rather than chasing women,when you develop strong core values,woman are naturally drawn to you.
Soma tena comment yangu mkuu.Hayo yote wanawake hawazingatii siku hizi, wanaangalia hela na mafanikio.
Sijawahi mkuu😁
Thing fall apartHayo yote wanawake hawazingatii siku hizi, wanaangalia hela na mafanikio.
Soma tena comment yangu mkuu.
Ooh sawasijawahi
huwa inatokea tu tumekuwa wapenzi
We jamaa una dharau 😃Na harufu ya Dagaa muda wote.
Mi kuhusu ulevi wako sijui ila najua akili huna ushanifahamu eeeAlikuwa na makebo makubwa hairlezeki 😋.
Tambua Mimi ni mlevi wa kupindukia wa makebo 😎.
Mkuu, usiwe unatuhukumu.Bana mi sijui niache😁
Sio dharau,ndio uhalisia huo.We jamaa una dharau 😃
Tumekorofishana nyumbani nikim-tag hapa haitamfurahisha sana. Ila akija mtajua tu.Sawa m tag basi aje
Mimi nina akili sana, ndiyo maana Kijijini kwangu watu huja kuniomba ushauri nasaha.Mi kuhusu ulevi wako sijui ila najua akili huna ushanifahamu eee