Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Mambo ya kutafutiana hayo
Kutafutiana kulisaidia ndoa nyingi kuwa na utulivu, maana Wazee walipoint mabinti watulivu sana na wenye maadili

Na wengi tulifanikiwa kufungua njia kwa mara ya kwanza (koh koh koh 🤭)
Ila wewe nitakua wa mwisho kukuamini
We si unataka nikupe lazi babu yako, huoni nilivyokula chumvi nyingi 🤪
 
Kutafutiana kulisaidia ndoa nyingi kuwa na utulivu, maana Wazee walipoint mabinti watulivu sana na wenye maadili

Na wengi tulifanikiwa kufungua njia kwa mara ya kwanza (koh koh koh 🤭)
Babu please kama watu wakutafutiwa wanadumu zaidi ni pointie mmoja unipe
We si unataka nikupe lazi babu yako, huoni nilivyokula chumvi nyingi 🤪
Vua nguo nione hiyo radhi
 
Back
Top Bottom