ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #461
Polee😢😥 dah! sikuweza, nilikuja kugundua ana multiple partners dk 90, niliamua kumove on tu !
Polee😢😥 dah! sikuweza, nilikuja kugundua ana multiple partners dk 90, niliamua kumove on tu !
Mda mrefu tu sema nilikuwa naogopa kukwambia, au unataka nikuazishie thread sasa hivi?? .
Aiseee hii ni mpya kwangu sawa asante mkuu🙏🙏Udhaufu wangu ni kwako tu ShesRise_1, ni sawa na mtu aliye kwenye kina kirefu cha maji hakika ni wewe wa kuniokoa😍😍
Dah 😢😢In love sidhani ila kuna wale crushes yaani kila ukimuona unasema mume si huyu haha unajiweka tu kwenye mazingira ya kuwa approached Ila mwisho they end up disappointing you
Ni acheni bwana...Usimtie gundu binti kiziwi anastahili mwanaume bora kuliko wewe.
Chonde chonde binti kiziwi nakuomba uwe kiziwi kwa watu wa aina hii... Wanajua kabisa mimi na wewe ni bam bamNitahakikisha hata PM hufungui kwa hiki kitoto😅😅🔥🔥
Ila ShesRise_1 Mungu anakuonaKazi yako ni njema iliyotukuka 🥰
AmenIla ShesRise_1 Mungu anakuona
Kitambo sana, yahani upo ndani mwangu.Umeanza lini na wewe haya mambo😅
Asante sana 😍Kitambo sana, yahani upo ndani mwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Shenziiii zako binti