Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Tell you what.... With me the fight will be worth it.. Utapigania katiba ukiwa na kidume Mzalendo kabisaa

I loved you the first day, nimelog in kwa jf. I was silently reading your words hoping how am I gonna be in the capacity to even attract you....

Nikaanzaga kureply post zako, ila ukawa unazi acha kamz zilivyo.. That time 2021, niko dumb and naive.. 😂 I had to level up my game, I knew I was only gonna be in resonance with you, si unajua like minds only attracts...so binti kiziwi uko sahihi kunipenda na mie nakupenda sana.
Usimtie gundu binti kiziwi anastahili mwanaume bora kuliko wewe.
 
Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️

Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?

Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili

Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine

Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni

Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭

Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege

Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣


Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?

Kulombana sio anasa

ShesRise_1 ✋️
ShesRise_1 nakupenda sana, Tafadhali nikubalie uwe mchuma wangu. 😥😥😥
 
Back
Top Bottom