ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #341
SafiiiiFor now, nimeiachia universe... We talk now and then sihitaji hata kuwa nae tena.
🤝Hahaha
Kweli...😁
SafiiiiFor now, nimeiachia universe... We talk now and then sihitaji hata kuwa nae tena.
🤝Hahaha
Kweli...😁
Subiriii kidogo.Nipo tayari enheeeeeee
Shenziiii zako bintiSubiriii kidogo.
Mapenzi hisia ukiona binti alikukataa wakati huna pesaUnatakiwa uwe navyo vingi usisahau na hela
Upo sahihiMapenzi hisia ukiona binti alikukataa wakati huna pesa
Ukaja kujipata akakufuata jua anataka pesa na sio mapenzi
Mapenzi hayanunuliwi kwa pesa mapenzi ni hisia otomatiki
Ukiona amerudi baada ya wewe kujipata jua kafuata pesa na sio mapenzi
Labda ngono ndo inanunuliwa kwa pesa na sio mapenzi
Point yangu ilikua hapaPoint
Mapenzi bila pesa hayanogi sana
Ila ukiwa na pesa yananoga
Poleee alipomaliza ulimwambia?ilishawahi nikuta pia !
alikuw bado anasoma, nilikausha nikisubiri ahitim japo ilikuw ngumu aisee😒 !
Wacha kuchekeaha bwana, mwanaume unatoka kauli gani hiyoo😂
Mimi natabia moja nisipo kupenda Huwa sitamani umiza hisia za mtu so Mimi nikitongozwa SIKUBALIGIeeh ukipenda unaweka upole pembeni safiiiiiii
Wanawake na sisi tuna hisia ujue
Kwa sababu ya mitazamo ya watu juu yetu hua tunakufa na tai shingoni
Wewe umesema hua unaona ajabu kutongozwa hujasema kama hujampenda au siyo hivyoMimi natabia moja nisipo kupenda Huwa sitamani umiza hisia za mtu so Mimi nikitongozwa SIKUBALIGI
Sisi ni binadamu sio hayawani ndio maana kuku, mbwa, n'gombe, bata wanaweza kukiana nje nje walakimbizana JE ? Kwa binadamu imekaa vipii 😁😊☺️ kwako MWALIMU KASHASHAWacha kuchekeaha bwana, mwanaume unatoka kauli gani hiyoo😂
Ukishaona Jogoo anachagua jike la kupanda?
Basi dunia it akufundisha namna ya kucheza faulo
Ni wanaume wachache ambao tuna break kwenye ZIPUWewe umesema hua unaona ajabu kutongozwa hujasema kama hujampenda au siyo hivyo
But hii ni kwa mtu yoyote mstaarabu hakuna haja ya kuchezea hisia za mtu kama unahisi kabisa humuelewi
Ukweli ni kuwa sisi ni wanyama tunaji fanya kuwa na akili tu ndo maana matatizo hayatuishii... Ukipata chance ya kucheza faulo usisiteSisi ni binadamu sio hayawani ndio maana kuku, mbwa, n'gombe, bata wanaweza kukiana nje nje walakimbizana JE ? Kwa binadamu imekaa vipii 😁😊☺️ kwako MWALIMU KASHASHA
Utakuja kupigwa tukio mzee...
Unautuma mpira na unafika kama Andy pirlo..Ukweli ni kuwa sisi ni wanyama tunaji fanya kuwa na akili tu ndo maana matatizo hayatuishii... Ukipata chance ya kucheza faulo usisite
Mwanaume anaejitambua hawezi kuchovya kila sehemu
Ngoja🍿 kabla hajaja kukusuta huyo kijanaUnautuma mpira na unafika kama Andy pirlo..
Kwaio wewe huoni tabu kupiga paipu wabibi, wanene, wembamba, wafupi, warefu, weupe, weusi...