ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #321
Hukuona hata wanafunzi wenzio hiviSecondary
Au ndio huota popote
Hukuona hata wanafunzi wenzio hiviSecondary
I had only one crush in primary ambae till date ninampenda. Ila kwa kipindi kile nilijua mapenzi ya dhati ni kwa mwanamke mkubwa.Hukuona hata wanafunzi wenzio hivi
Au ndio huota popote
Mimi ni shy na muoga muoga, sio muongeajii , mkimya na Nina upole ambao hata nikiweka picha hapa unauona.. ila nikifall kwa kwa mtu Huwa na change nakua aggressive mpaka nakamilisha jambo langu.Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Huyo crush mpka leo una mpenda wa shule ya msingi ?uwiiiii na yule mega sijui nani he we mtoto!I had only one crush in primary ambae till date ninampenda. Ila kwa kipindi kile nilijua mapenzi ya dhati ni kwa mwanamke mkubwa.
Huwezi amini mpaka na maliza secondary I never had a girlfriend
We jamaa Wacha chaiMimi ni shy na muoga muoga, sio muongeajii , mkimya na Nina upole ambao hata nikiweka picha hapa unauona.. ila nikifall kwa kwa mtu Huwa na change nakua aggressive mpaka nakamilisha jambo langu.
NB. NIMEWAI TONGOZWA SANA NA WADADA KWA MUONEKANO WANGU ILA UNWONDERFUL ENOUGH HUWA NIKITONGOZWAGA SIKUBALIGI NAONAGA NI KITENDO CHA AJABU SANA SANAAAAAA.. KUNA MDADA MMOJA MREMBO TU SIJUI KWA NINI HUWA HACHOKI KUNITONGOZA MIAKA ZAIDI YA SABA SASA NA SIJAWAI KUMKUBALIA
eeh ukipenda unaweka upole pembeni safiiiiiiiMimi ni shy na muoga muoga, sio muongeajii , mkimya na Nina upole ambao hata nikiweka picha hapa unauona.. ila nikifall kwa kwa mtu Huwa na change nakua aggressive mpaka nakamilisha jambo langu
Wanawake na sisi tuna hisia ujue.
NB. NIMEWAI TONGOZWA SANA NA WADADA KWA MUONEKANO WANGU ILA UNWONDERFUL ENOUGH HUWA NIKITONGOZWAGA SIKUBALIGI NAONAGA NI KITENDO CHA AJABU SANA SANAAAAAA.. KUNA MDADA MMOJA MREMBO TU SIJUI KWA NINI HUWA HACHOKI KUNITONGOZA MIAKA ZAIDI YA SABA SASA NA SIJAWAI KUMKUBALIA
Dah hadi wewe 😂 mwambie tu banaMpaka Sasa Niko in love kwa MTU,ila nashindwa kusema
Yes, her name is Amina... Akiona hii comment lazima ajue..Yuko crush mpka leo una mpenda wa shule ya msingi ?uwiiiii na yule mega sijui nani he we mtoto!
Hongera kwa Amina wanakuaga wazuriii😊Yes, her name is Amina... Akiona hii comment lazima ajue..
Unataka kulelewa kijana mdogo😂😂meghan markle huyu nili catch soo hard feelings na ni mkubwa kwangu pia.. I like intellectual women.. Women who can make me think, women ambao watanipa uchangamfu wa akili.. Ndo maana huwa nafukuzia mishangazi... Kama huyu binti kiziwi naye kaingia kwenye rada sasa..
Nimecheka mpka nagalagala chini eeeeeeh mie mgumu kumbe 😂😂😂Na ww ulikuwa ila baada ya kuona ww n mgumu imenibidi nishushe silaha chini sadly
Oya hata mm kuna dem nampenda nashndwa kumwambia oya, Tujilipue leo basiMpaka Sasa Niko in love kwa MTU,ila nashindwa kusema
Omg hujakosea kabisa ni bonge la pisi alafu mnyamwezi.. Ila ndo hivyo tu wanasema if it happens it happens.Hongera kwa Amina wanakuaga wazuriii😊
Noo infact, nataka niwe free kufikiria maana wadada wa kawaida kwangu ni pasua kichwa.Unataka kulelewa kijana mdogo😂😂
Kujificha kwenye kichaka cha uchangamfu wa akili😎
Basi huu ukweli ukuponye ufungue vioo kwetu sie wenye nia na weweNimecheka mpka nagalagala chini eeeeeeh mie mgumu kumbe 😂😂😂
Shida yenu huanzia hapa, mnaona mkitongoza mwanaume mnaempenda ni kama mnajishusha, mnaishia kudeti na kuwachuna hela wanaume wenye ujasiri wa kuwafata ilhali nyie hamuwataki ShesRise_1kuliko kuonekana tunajishusha
Hii ya enzi za mababu ndiyo unatumia leoNikinya maji narudia naho hanyWa mazi nakuona mwe bakuli
MashaAllah ☺️Omg hujakosea kabisa ni bonge la pisi alafu mnyamwezi.. Ila ndo hivyo tu wanasema if it happens it happens.
Asieee kila la kheri you never knowNoo infact, nataka niwe free kufikiria maana wadada wa kawaida kwangu ni pasua kichwa.
Kijana tulia 🤦♂️Basi huu ukweli ukuponye ufungue vioo kwetu sie wenye nia na wewe
Tatizo jamii inachukulia utovu wa nidhamu ukahaba mwanamke kumwambia mwanaume ana mpendaShida yenu huanzia hapa, mnaona mkitongoza mwanaume mnaempenda ni kama mnajishusha, mnaishia kudeti na kuwachuna hela wanaume wenye ujasiri wa kuwafata ilhali nyie hamuwataki ShesRise_1
Hapana.!! Hebu nipe uzofu mdogo wako wa mwisho ni weze kukamata ndege bila chamboHii ya enzi za mababu ndiyo unatumia leo
Unatakiwa uwe navyo vingi usisahau na hela 😂😂Hapana.!! Hebu nipe uzofu mdogo wako wa mwisho ni weze kukamata ndege bila chambo
For now, nimeiachia universe... We talk now and then sihitaji hata kuwa nae tena.MashaAllah ☺️
HahahaAsieee kila la kheri you never know
Kaza tu
Kweli...😁Kijana tulia 🤦♂️