ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #421
HakunaaaaaaaaaaaLionee na komwe lake... 😂
. Wivuu tu kutaka kupeperusha ndege wangu
Ewe mrembo binti kiziwi usisikilize hawa wapambe
Ushindweeeeeeeee
HakunaaaaaaaaaaaLionee na komwe lake... 😂
. Wivuu tu kutaka kupeperusha ndege wangu
Ewe mrembo binti kiziwi usisikilize hawa wapambe
Tell you what.... With me the fight will be worth it.. Utapigania katiba ukiwa na kidume Mzalendo kabisaaBora nikapiganie katiba mpya!……
Nampenda kama mdogo wangu , ye mwenyewe anajua, i like stubborn people huwa kuna part naielewa kuhusu wao au najiona ndani yao. Stubborn people are my people tbh.
binti kiziwi si unaona walimwengu hawataki kabisa penzi letu liflourish...Hakunaaaaaaaaaaa
Ushindweeeeeeeee
UlongooooooooooooTell you what.... With me the fight will be worth it.. Utapigania katiba ukiwa na kidume Mzalendo kabisaa
I loved you the first day, nimelog in kwa jf. I was silently reading your words hoping how am I gonna be in the capacity to even attract you....
Nikaanzaga kureply post zako, ila ukawa unazi acha kamz zilivyo.. That time 2021, niko dumb and naive.. 😂 I had to level up my game, I knew I was only gonna be in resonance with you, si unajua like minds only attracts...so binti kiziwi uko sahihi kunipenda na mie nakupenda sana.
Nipo nasaga kunguniiiiibinti kiziwi si unaona walimwengu hawataki kabisa penzi letu liflourish...
Usimruhusu huyu awe kikwazooo
Toa ya moyoni ungamaaa🫣
Nasindwa kualewaaa upo single lini au kwenye huu uzi tu😅😅😅
Amini nakwambia.Huyo kamanda yupo humu nikamlilie ee apkee hayo malovee yako babe🫣
Sikuamini ulongooooo💔💔😂😂
Weeeeee kweli? I notice a lot, why siku notice hili?Tell you what.... With me the fight will be worth it.. Utapigania katiba ukiwa na kidume Mzalendo kabisaa
I loved you the first day, nimelog in kwa jf. I was silently reading your words hoping how am I gonna be in the capacity to even attract you....
Nikaanzaga kureply post zako, ila ukawa unazi acha kamz zilivyo.. That time 2021, niko dumb and naive.. 😂 I had to level up my game, I knew I was only gonna be in resonance with you, si unajua like minds only attracts...so binti kiziwi uko sahihi kunipenda na mie nakupenda sana.
Mlimwengu ShesRise_1binti kiziwi si unaona walimwengu hawataki kabisa penzi letu liflourish...
Usimruhusu huyu awe kikwazooo
Yule manzi huwa ni kama zimemruka hivi.. AiseeUsikute kweli Ephen ndie huyo rais wa first year 😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Aisee hebu Wacha basi nami nipate mtu sahihiNipo nasaga kunguniiiii
Nipo lelele verewele
Ndiyo, ninashindwa kukwambia kuwa nakupenda.Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? ❤️
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena🤭
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza 🤣🤣
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 ✋️
Ni basi mm sio mzuri kwenye VAR checkWeeeeee kweli? I notice a lot, why siku notice hili?
Lakini na wewe kwanini unapenda vi-shangazi?
Aisee we acha tu sasa hivi Atakuambia kila baya kunihusu ili ukose interest na mm
Yoooo babe girl 😍 ume crush sehemu ngumu uwiiiiiiiiZile story tulikuwa tunapiga ni za zamani ati!
Amini nakwambia.
Kuna siku ilikuwa jumamosi nilikuwa na zoom meeting saa kumi , na internet home ikawa inasumbua nikaondoka kwenda hotel fulani ili nipate access ya lounge kunakuwaga kumetulia na internet nzuri, nilienda kama saa nane, mida kama ya saa tisa nikapigiwa simu, ile simu ilikuwa lazima iwe ndefu, na pale lounge kumetulia watu wawili wanafanya kazi zao, ikabidi nitoke nje kuongea, nikaenda karibu na parking nikawa naongea nashika shika maua pembeni, kama dakika 10 mbele ikaja gari ikapaki usawa wa nilipo, ilikuwa ndo parking pekee iliyokaa vizuri, Nikaangalia vizuri kupitia kioo cha mbele, nikamuona dereva, kiti cha Abiria Mh. Heche, kiti cha nyuma MMM kiti cha pembeni yake nadhani bodyguard wa mh.Heche.
Nikaendelea kuongea na simu, nikitegemea watashuka, weee walikaa kwenye gari, karibu dakika 10+
Nikamaliza kuongea na mi nikabaki nimesimama (sikurudi nilikokuwa) Kuna kitu nilitaka nijifunze kupitia ile scenario.
So nilichojifunza ni kwamba hawa watu sisi tuna wachukulia poa poa tu, lakini trust me hawaishi kipoa poa wala hawaishi kama sisi watu wa kawaida, tunaenjoy maisha tuko reckless hatujali chochote tunaishi kama minyoo 🤣 Hawa watu wanaishi maisha magumu ya kimkakati sana masikini ya Mungu 🥹
Sasa walivyojiridhisha mambo yao wakashuka, wakashusha mabegi yao nadhani walikuwa wana lala pale, nikataka nivamie msafara ni wasalimie walau hata nimkumbatue Mh. Heche, nikawaza baunsa asijekuninyakua akanirusha huko nikakausha nikaenda kuendelea na mitikasi yangu.
Sasa kwa mazingira haya, kumu-Approach kamanda kama huyu utatoboa kweli? wana akili timamu wanafikiria, wako suspicious muda wote…….. Tell me babes.
Mabaya yako yapo live sina haja kumwambia😏Aisee we acha tu sasa hivi Atakuambia kila baya kunihusu ili ukose interest na mm
Umeanza lini na wewe haya mambo😅Ndiyo, ninashindwa kukwambia kuwa nakupenda.
Nimesha okoka hata yeye anajua..Mabaya yako yapo live sina haja kumwambia😏
SafiiNimesha okoka hata yeye anajua..
Am born again
Na wewe unamwamini kabisaa! Aisee kakuweza😂Toa ya moyoni ungamaaa🫣
Nasindwa kualewaaa upo single lini au kwenye huu uzi tu😅😅😅
Huyo kamanda yupo humu nikamlilie ee apokee hayo malovee yako babe🫣
Sikuamini ulongooooo💔💔😂😂
Koloni huu msamiati ulitumika sana enzi za secondary o level..Utakuja kupigwa tukio mzee...
Jifunze kuwa na makoloni ya kukupoza just in case