sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na hatuna kabisa mgongano wowote tumekuwa tunaelewana.
Shida yake ni harufu ya kwapa, hiki kitu kimekuwa kinakikera sana kwa muda mrefu. Hata tukiwa kwenye show sometimes mzuka unakata kabisa maana mimi sipendi harufu ya jasho baya. Sio kwamba haogi anaoga tu vizuri nguo zake ni safi ila akijigeuza geuza kidogo tayari kwapa inaanza kutema.
Shida kubwa zaidi hataki deodorant anasema zitampa cancer. Maana anapaka pafyumu kwenye nguo ila tatizo anakuwa ajaritibu. Mtu kama huyu unamsaidiaje au ukimuacha unakuwa umefanya dhambi mbaya? Harafu niulize pia, mtu akiwa ananuka kikwapa anakuwa hajisikii au?