Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii.

Nina demu wangu kiukweli nampenda na hatuna kabisa mgongano wowote tumekuwa tunaelewana.

Shida yake ni harufu ya kwapa, hiki kitu kimekuwa kinakikera sana kwa muda mrefu.
Hata tukiwa kwenye show sometimes mzuka unakata kabisa maana mimi sipendi harufu ya jasho baya.

Sio kwamba haogi anaoga tu vizuri nguo zake ni safi ila akijigeuza geuza kidogo tayari kwapa inaanza kutema.

Shida kubwa zaidi hataki deodorant anasema zitampa cancer. Maana anapaka pafyumu kwenye nguo ila tatizo anakuwa ajaritibu.

Mtu kama huyu unamsaidiaje au ukimuacha unakuwa umefanya dhambi mbaya?

Harafu niulize pia, mtu akiwa ananuka kikwapa anakuwa hajiskii au?
Perfume ipo nipe order nikuletee tu
 
Changamoto yake umeijua.Sasa,haujajituma kutafuta suluhu?Mnunulie sabuni nzuri za marashi(siyo zile za bei rahisirahisi zisababishazo mafua) na umpe aogee.Ikibidi,muwe mnaoga wote na msuguane hiyo miili yenu vema na kwa umakini.Siyo umparue.
Halafu,tembea naye madukani umshawishi achague uturi(perfumes) nzuri apendayo,na umlipie.
Hata hivyo,mshauri awe anakunywa maji mengi.Na kama anakunywa pombe apunguze kiasi.Mimi nimeanza kukushauri kiduchu, wengine watafuata zaidi.
Hahaha. .... aisee.
 
kuu huu ni utaratibu tu wa usafi sio dawa ya kikwapa

Nafikiri wengi hawajakutana na wenye hii shida ni ngumu kuelewa, mimi pia sikuwai kukutana na mwenye hali hii before.
Kuna jamaa tulisoma nae sekondari alikuwa ananuka kikwapa sio kawaida akiingia hata ukumbi wa shule wa kubeba watu hata mia nane utajua jamaa kaingia. Siku moja tunaoga mtoni vidume wengi mimi nikasema wacha nimchore jamaa anavyooga. Asee nikagundua jamaa ni mvivu kuoga na hafati kanuni za kuoga. Nikatafuta muda nikakaa nae akanieleza tatizo lake la kutopenda kuoga. Nikamueleza namna ya kuoga na mtego (dodoki ) yale ya mtego wa samaki nikampatia. Kilichofata hadi waalimu walinishukuru jinsi nilivyomsaidia. Ile harufu ilimuisha kabisa.
 
Screenshot_20220130-093835.png
 
Kama hataki deodorant basi kazi unayo.

Pia ajaribu kutumia ndimu/limao ukisugulia kwapani inasaidia kukata harufu.

Ila ongea nae kwa utaratibu, wengine wana nongwa
 
Yeye mwenyewe na wanafunzi wenzako hawakukushukuru??!!

Ila Kikwapa halisi hakiondoki kwa dodoki.
Yeye ananishukuru hadi leo wanafunzi walijua mimi ndo nimemsaidia. Waalimu walishamjua tatizo lake ila walishindwa namna nzuri ya kumsaidia. Nakumbuka madam mmoja yy alikuwa akimuona jamaa anaanza kumtukana na kumkejeri kwa jinsi anavyotoa harufu. Madam alipojua alinishukuru sana.
Infakiti wanakupa vikwapa wengi ni wavivu wa kuoga.
 
Back
Top Bottom