Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

Ni bora mwanamke anuke kwapa huwa hainistui kwanza napendaga kale ka harufu kake
Ila demu anayenuka mbususu au mdomo huyo huwa siwezi kumvumilia kabisa!
 
Ukute yeye anapenda hicho kikwapa chake🤷🏽‍♀️Hakimkeri
 
Sasa kama deorodant hataki utamsaidiaje???

Basi awe anaogea sabuni za maana kama shower gel za Elizabeth Arden, Issey Miyak, KK etc
 
Sasa kama hataki deodorants Sisi tunamsaidiaje?Aongeze Kiasi cha maji anywe maji si chini ya Lita mbili kwa siku.
 
Mwambie apake povu la sabuni ya jamaa, baada ya kuoga...
Akishindwa hapo ni PM
 
Sijawahi...

Mpe moungozo wa kua ananyoa nywele za kwapa mara Kwa mara...
 
Atakuwa hajitambui kama ananuka.

Nani alimwmabiea deodorant zinaleta kansa? Mafuta anapaka? Hayaleti kansa? Pafyumu je au kwakuwa anapaka kwenye nguo?

Basi ajitahjdi kutumia malimau wakati anaoga ajisugue, au wengine wansema maji ya ukoko wa ugali ajisugulie huenda tatizo linaisha.

Vikwapa vinaboa sana aisee.
 
Akikubali kutumia deodorant atumie ile isiyo na harufu iko kama maziwa. Itamsaidia sana na akioga asuguwe kwapa vizuri anyowe nywele za kwapa pia.
 
Suruhu siyo sabuni ya kuogea wala perfume tena vitu vyenye marashi vinaongeza tatizo. Deodorant isiyo na marashi ndiyo jibu.
 
Nilimsaidia akaanza kutumia deodorant na kaipenda kwasababu mimi nilikuwa natumia. Hatuko pamoja tena ila najua anaendelea kutumia. Ana harufu kali ya kwapa..
 
Mnunulie perfume deodorant Na jitahidi Kwa Upendo kunisaidia taratibu mpaka itakapoisha!

Hivi wanaume wa miaka hii mkoje?
 
Msijaribu kuingia kwenye ndoa kama kuna vitu fulani vinakukera vya mwenzako, kusema mnavitatua na havutatuliki ni muachane tu, siku hizi hakuna mapenzi yale ya zamani ya kuvumiliana
 
Hizo harufu mi ndiyo hua zinanipandisha mzuka. Harufu ya nywele, jasho na harufu ya ukwaju.

Kama anatumia uzazi wa mpango au dawa za muda mrefu hizi mambo hua zinatokea
Aisee
 
Mm nna swali uliwezaje fika nae mbali huku unajua ana kikwapa,?
 
Wakati nipo bording kuna jamaa lilikua linajiita beberu, na kweli lilikua beberu maana likikatiza sehemu lazima liache harufu.
Lilishaweka oder kwa wapishi wakikamua ndimu vile vipande hamna kutupa wamuwekee jioni anavipitia, akitoka kuoga kabla ya kulala lazima ajisugue kwanza na vile vipande vya ndimu makwapani, siku akikosa ndimu basi chumbani hakulaliki.
Room mates wake walikua wanampambania sana jikoni asikose ndimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…