Ngoma ilizima ndo naanza kusonga ugali alafu mida mibaya saa tano usikuJamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.
Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.
Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.
Hebu tueleze ilikuwaje.
😂😂😂Nilikua napika wali ika zima .nika fanya kuugeuza nikala wa chini wa juu ulkua auja ivaa nka uacha [emoji856][emoji28][emoji28] maisha yalikua yame nipiga.
hahahahaNakumbuka nilikunywa uji na mboga siku hiyo
Kuna hiyo siku nilitamani kupika wali na nyama. Nimepika wali fresh huku nyama inachemka sijaunga bado. Baada ya nyama kuiva basi niunge kaanga vikorombwezo ile kuongeza maji mchuzi uchemke ngoma ikakata, ile siku tulikula wali na supu nilitaman hadi kulia hapo ni usiku mwingi na sina hata kipande cha mkaa nilikoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
NdyooooooooHalafu huwa gas inakata ukiwa umefulia au usiku mkubwa.
Pole sana yaliyokukuta ni makubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hiyo siku nimepania wali nazi, samaki nazi...
Nimekuna nazi 3 nimechuja. Nimekatakata bamia na nyanya chungu...nimeloweka mchele...
Ile nimeweka sufuria tu ya mboga nianze kupika jiko likazima. Na nilikuwa na sh. 30,000 tu ya kunifikisha mwisho wa mwezi.
Nililiaaaaa........
Asante. Nilishapoa. Siku hizi nina mitungi miwili hivyo nina mtungi uliojaa gesi pembeni kwa ajili ya emergencies kama hiziPole sana yaliyokukuta ni makubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wangeboresha kwa kuweka gauge kama gari jamani.Nilikua napika wali ika zima .nika fanya kuugeuza nikala wa chini wa juu ulkua auja ivaa nka uacha [emoji856][emoji28][emoji28] maisha yalikua yame nipiga.