cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah hizi nyuzi nyingine zinanikumbushia machungu, kuna muda mpaka najiuliza eti na mimi nitafanikiwa kimaisha ? iliwahi kukata ndio nataka kupika nyama, halafu nipike wali....ile nakaangiza kitunguu kitu kikakata, kilichofuta nilikula kitunguu cha kukaanga na maziwa ya Tanga fresh [emoji17]