Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Bahati nzuri like kubwa lina plates pia za Umeme.

Sasa ingekuwa juzi Kati ishu ya Tanesco sijui ningefanyeje huenda ningeagiza msosi.
Good! πŸ‘ŒπŸΎ

Umeme nimeunganisha katika oven, nilipikia kipindi fulani hadi Tanesco wakaona nimekidhi kuingizwa uchumi wa kati katika LUKU.
 
Mie mara nyingi tu.

Ila mara nyingi nakuwa nishajipanga maana huwa naihesabia tarehe. Na ikiwa mambo hayako vizuri kununua mtungi mwengine naponea kwenye electricity cooker. Ila siku hio mapishi huwa mwepesi......like chips na mayai tu baas
Leo umepika nini nije?!
 
Nina Mkubwa na mdogo
Ila yote ikiwa na gas natumia yote
Huku mboga kule chai [emoji23][emoji23]

Nimeona nisijaze tu
Yeah kama vipi unatafuta hela halafu nenda kule kwenye duka la jumla la gesi kisha omba uongezee pesa uwape mtungi mdogo wakupe mkubwa uwe nayo miwili.
 
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tu[emoji51][emoji119]

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea tangu November 2020? Mtungi mkubwa au?
 
Mie iliwahi nikuta, wakati huo nataka kukaanga samaki, ile mafuta kupata moto tyuuh jiko likazima, tena ilikua usiku nkalala na njaa, kesho yake nkachukua mpya tena.
 
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tu[emoji51][emoji119]

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
Jirani nimesha kufahamu[emoji23][emoji23]
 
Yeah kama vipi unatafuta hela halafu nenda kule kwenye duka la jumla la gesi kisha omba uongezee pesa uwape mtungi mdogo wakupe mkubwa uwe nayo miwili.

Mikubwa miwili hapana

Kuna kipindi cha Depression hiyo kubwa inaweza nishindisha week bila bila
 
Dah hizi nyuzi nyingine zinanikumbushia machungu, kuna muda mpaka najiuliza eti na mimi nitafanikiwa kimaisha ? iliwahi kukata ndio nataka kupika nyama, halafu nipike wali....ile nakaangiza kitunguu kitu kikakata, kilichofuta nilikula kitunguu cha kukaanga na maziwa ya Tanga fresh πŸ˜”
 
Hahah hapo ndo utajua Microwave oven sio tu Kupasha na kuchoma, inapika mboga hata Wali [emoji3]

Au multcooker inapika mboga
Unaosha unaweka wali

Unaosha asubuhi unaweka chai[emoji23]
 
Dah hizi nyuzi nyingine zinanikumbushia machungu, kuna muda mpaka najiuliza eti na mimi nitafanikiwa kimaisha ? iliwahi kukata ndio nataka kupika nyama, halafu nipike wali....ile nakaangiza kitunguu kitu kikakata, kilichofuta nilikula kitunguu cha kukaanga na maziwa ya Tanga fresh [emoji17]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] polee
 
Back
Top Bottom