Ushawai date mtu asiyejua kukiss?

Linahamasisha sana kuliweka, yaani ujue deep kissing inaleta minyege sana, ikifanywa kitaalam, tena ukute mnafanya deep kiss huku kazi inaendelea, huchoki hata kidogo🤣
Hii imepita bila kupingwa🤣🤣🤣
 
Unalilia utaratibu wa ku exchange bacteria 🦠 🦠 🦠 na virus 🦟 🦟 🦟 vya COVID Kwa hiyari.
 
Kukiss na kupiga show ni sanaa ...kuna wanaojua na wengine mazombi wasiojiongeza kuijua hiyo sanaa.. ndo maana utakuta msela anawanawake zaidi ya wa 4 na bado hawamuachi na wanajuana.
 
Kukiss na kupiga show ni sanaa ...kuna wanaojua na wengine mazombi wasiojiongeza kuijua hiyo sanaa.. ndo maana utakuta msela anawanawake zaidi ya wa 4 na bado hawamuachi na wanajuana.
HiI comment ndio nilikua naitafuta😂😂😂🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…