Ushawai date mtu asiyejua kukiss?

Ushawai date mtu asiyejua kukiss?

Linahamasisha sana kuliweka, yaani ujue deep kissing inaleta minyege sana, ikifanywa kitaalam, tena ukute mnafanya deep kiss huku kazi inaendelea, huchoki hata kidogo🤣
Hii imepita bila kupingwa🤣🤣🤣
 
Unalilia utaratibu wa ku exchange bacteria 🦠 🦠 🦠 na virus 🦟 🦟 🦟 vya COVID Kwa hiyari.
 
Sisi tunaopenda wenye nyamanyama, halafu liwe na ujuzi wa romance huwezi kulichoka.

Ila tumkatae shetani na mambo yake yote🤣
1737666670615.jpg
 
Kukiss na kupiga show ni sanaa ...kuna wanaojua na wengine mazombi wasiojiongeza kuijua hiyo sanaa.. ndo maana utakuta msela anawanawake zaidi ya wa 4 na bado hawamuachi na wanajuana.
 
Kukiss na kupiga show ni sanaa ...kuna wanaojua na wengine mazombi wasiojiongeza kuijua hiyo sanaa.. ndo maana utakuta msela anawanawake zaidi ya wa 4 na bado hawamuachi na wanajuana.
HiI comment ndio nilikua naitafuta😂😂😂🙏🏽
 
Back
Top Bottom