Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Sie wengine hapi lazima upigie ndugu, jamaa na marafiki. 😂
 
Mojito[emoji1474][emoji1474][emoji1474]
 
Sisi wa kwa mama ntilie majuto yetu huwa madogo tu, unamwambia asiweke maharage anaweka, aweke mboga pembeni anachanganya, sio kesi wala nini. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au anaweka chakula sahan ina mimaji

Hata nikiwa home huwa sipendi michuzi napenda rost ata wali uwe mkavu sio wababu au ulegee kidogo
Nitakula basi tu.

Haswa ugali na mchuzi sili na nikila sishibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…