Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Juzi nilienda kkoo nikawa na njaa nikaingia sehm fulan kula sasa chakula kilichopo pale nilichokielewa mimi ni ugali nyama choma.

Kwakua ndo chakula changu pendwa mchana huwa nakula ugali nyama choma kwa 3500 mitaa yangu ya job.

sasa pale nikaagiza bila kuuliza bei nimekula nikatoa ten nikarudishiwa buku jero nilishtuka ila nikakausha
Sie wengine hapi lazima upigie ndugu, jamaa na marafiki. 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaza nicheke

Ilikuwa siku fulani hiyo nilikuwa na stress balaa sasa nikaona sio tabu ngoja nijitoe out nikatoka paka sehemu yangu pendwa kwa bendi mzuri CAPE TOWN kufika pale nikaomba menu nikachagua kinywaji soft drink as...
Mojito[emoji1474][emoji1474][emoji1474]
 
Sisi wa kwa mama ntilie majuto yetu huwa madogo tu, unamwambia asiweke maharage anaweka, aweke mboga pembeni anachanganya, sio kesi wala nini. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au anaweka chakula sahan ina mimaji

Hata nikiwa home huwa sipendi michuzi napenda rost ata wali uwe mkavu sio wababu au ulegee kidogo
Nitakula basi tu.

Haswa ugali na mchuzi sili na nikila sishibi
 
Back
Top Bottom