Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Suala la Bei ni muhimu mno aiseeNinapoingia sehem kwa mara ya kwanza kula huwa siulizi bei naona aibu sijui kwann!!
huwa natoa tu elfu 10 baada ya kumaliza kula akishanipa chenchi ndo namuliza bei ni kiasi fulan ? anasema ndio basi kishingo upande