Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ya familia yenyewe kuna muda wananipigia simu kunishtua kuna jambo nipite huko, nimemute notifications maana huko kwenye magroup kuna wale motivational speakers kutwa kutuma videos na magazeti marefu kama mabandiko ya Robert Heriel MtibeliStage ya kuwa na magroup ya WhatsApp nimeshaivuka mkuuu 😎🤝
Ya familia yenyewe kuna muda wananipigia simu kunishtua kuna jambo nipite huko, nimemute notifications maana huko kwenye magroup kuna wale motivational speakers kutwa kutuma videos na magazeti marefu kama mabandiko ya Robert Heriel Mtibe
[/QUOTE]
Hii ni moja ya sababu iliyonifanya nikaachana na issue za magroup kabisa,, unakutana na mabandiko marefu,, halafu ukianza kusoma ni upuuzi tu umeandikwa 😑
Ya familia yenyewe kuna muda wananipigia simu kunishtua kuna jambo nipite huko, nimemute notifications maana huko kwenye magroup kuna wale motivational speakers kutwa kutuma videos na magazeti marefu kama mabandiko ya Robert Heriel Mtibeli
Kazi ya group za kifamilia ni kupeana taarifa ya mambo yahusuyo familia na sio soga humo ndani muda wote kama mpo chit chat na si vinginevyo, mnapolifanya group la familia kuwa la soga kila muda ndio sababu ya wachache kutulia kimya wakijua hakuna cha maana zaidi ya soga na hili lina athari sana pale inapotolewa taarifa muhimu. Lengo la group liheshimiwe.Moja ya dalili kwamba umaskini unasumbua mtu ni kukaa mbali na magrupu ya WhatsApp ya Familia.
Magrupu niliyopo ya familia wale MASKINI, wale ambao hawajajipata, wale ambao sio wachangiaji wa michango wengi wao sio wachangiaji na wanamitazamo kama yako.
Kazi ya group za kifamilia ni kupeana taarifa ya mambo yahusuyo familia na sio soga humo ndani muda wote kama mpo chit chat na si vinginevyo, mnapolifanya group la familia kuwa la soga kila muda ndio sababu ya wachache kutulia kimya wakijua hakuna cha maana zaidi ya soga na hili lina athari sana pale inapotolewa taarifa muhimu. Lengo la group liheshimiwe.
Kuhusu michango ya kifedha nnajitahidi sana kwa hali yangu ila hiyo michango ya soga hapana mkuu.
Umeninukuu vibaya rudia kusoma, sijasema lengo la group la familia ni michango.Ni Sawa.
Ila tathmini yangu imeonyesha hivyo. Kuwa watu wengi ambao hawajajipata sio wachangiaji kwenye magrupu ya familia.
Kwenye magrupu ya familia hawachat ila Jamii forum na mitandao mengine ya kijamii wanachat.
Aliyekuambia magrupu ya WhatsApp ya familia lengo like tuu ni michango na sio kupiga soga ni Nani?
tupe uzoefu muungwana ni muhimu sana 🐒Wengi tuna magroup ya wasp ambayo mengine ya ovyo mengine ya heshima je katika hayo magroup ushawai tongozwa na mtu katika hayo magroup kwa wanawake au wanaume au ushawai kutongoza na wewe ulikuwa unajaribu tu baada ya kuona kama kuna wepesi fulani?
Chai.Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..
Chai.
Hao mademu hawajuani kama wanapitiwa wote ila wewe unajua!!Tena mibaba haina aibu yanajua una mtu wako bado yanakufata.. Wanajaribu bahati.. Na vijana anakuja na maneno ya kutaka kufikiria unataka mtu akupoze.. Shame.. Hawajui wengine wetu wanatupa raha haswaaa..
Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..
Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee
Yanajishaua na ku comment sana mtu unajua huyu tayari kadakwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu baada ya kuona wanatemwa wanakuwaga kimya
Sie tulio huru tunakuwa na Amani kabisaaaa maana tunajitambua.
Mke mwema anatoka kwa Bwana. Sasa wahuni wanataka humo humo.Kunywa yako.. Ushibe🤣🤣🤣
Mie siwezi kukugawia chai yangu tena ya Maziwa na viungo. Tamuuuuu
Bonge nyanya na wewe unatongozwaga!Sasa kanisani Tu unatongozwa sembuse whatsup.
Naomba nitumie link na mimi nishuhudie 🤣🔗🔗Kuna wawili group moja hao wana maliza wake za watu ni hatari..
Sasa mademu wao hao wamma hata hawajuani kama wanapitiwa wote aibu aiseeee
Itakuwa na yy yumo asitudanganye hapaHao mademu hawajuani kama wanapitiwa wote ila wewe unajua!!