Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Haiwezekani kutenganisha utendaji wa chama cha siasa na siasaNchimbi akitaka kufanikiwa inabidi abalance utendaji na siasa vizuri. Kimoja kikielemea kingine atafeli!

Na kweli maana ushawishi wa zile KALIO za Bashite ni nomaVyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.
Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.
Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.
Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Huu ni ukweli, nadhani ni busara waende pamoja au KM afanye ziara za kawaida na swala la uhai wa Chama abakie Makonda na Jokate tena ikiwezekana wawe pamoja.Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.
Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.
Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.
Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Kijamaa kinafiki saana ila maigizo yake yana mwishoMwisho wa ubaya ni aibu
Uongo uongo pia una mwisho!!!
Hilo kwa sasa tunapoelekea kwenye chaguzi haliwezi kuwa na tija!Mnatazama vitu juu juu sana ndio maana mnakosa muunganiko sahihi wa mitazamo yenu. Mtazamo wa SG Nchimbi na Mwenezi Makonda unaweza kutofautuana kwenye hoja ifuatayo:
Nchimbi ana mtazamo wa kujenga utaasisi ndani ya CCM na kuondokana na mfumo mtu ambao anajua pasina na shaka athari za mfumo huo Kwa CCM. Leo ukimuuliza Nchimbi ni kipi kinatakiwa kitangulie mbele kati ya yeye na CCM atakuambia ni CCM Kwa sababu mfumo mtu ni hatari sana.
Kwa mtazamo wako na pengine na wa Makonda ni kwamba CCM inahitaji watu wenye nguvu ili kutunishiana misuli na kuulizana nani ana nguvu kati yetu? Hapana CCM inahitaji kujijenga na kuwa taasisi imara ambayo itakuwa na nguvu ya kudhibiti watu wake na Hilo ndio jukumu alilonalo SG Kwa Sasa.
Kwanza anatakiwa kuua nguvu zozote ambazo zitakinzana na nguvu ya Chama.
Pili, kukemea vitendo vyote ambavyo vitahatarisha uwepo wa CCM.
Tatu, kupambana na yeyote aliye kinyume na CCM.
MWISHO, Kujenga taasisi yenye nguvu na sauti kuliko watu. Taasisi ndio unatakiwa kuwa na nguvu ya ushawishi na sio watu.
Akifanikiwa katika hayo nakuhakikishia sio Makonda unayomuona ana nguvu kuliko SG wala yeyote yule atakayetamani kupambana na CCM na akafanikiwa na wanachama watakuwa wanakitegemea chama.
Kitu gani cha maana anakifanya Makonda makalio makubwa zaidi ya kudhalilisha watu????mtu ambaye anachokifanya, ndicho Wananchi wanataka.
Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.
Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.
Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.
Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Kijana yuko vizuri ila tu yupo kwenye jumba bovu. Mungu amsaidieVyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.
Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo.
Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala la ushawishi.
Basi kama katika kundi la wabovu alilopo basi yeye ni mbovu mwenye nafuu.
Inatuhusu nini hapa, ndani ya ccm nani msafi, niseme tu kiuongozi na kuijua nchi huwezi mlinganisha Nchimbi na makonda, muwe na adabu ndani ya chama chenu japo kimekufa, makonda na nchimbi wapi na wapi ?Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi.