Sahihi kabisa, Kosa kubwa la kimahesabu ambalo Nchimbi KESHAANZA kulifanya ni Hilo la kujifanya anampiga jungu mtu ambaye anachokifanya, ndicho Wananchi wanataka.
Niliwahi andika humu, MAGUFULI amewaonyesha watanzania ni Kiongozi wa aina gan anayefaa.
Nikasema pia, Kwa Sasa kisiasa ili ukubarike ni LAZIMA NA SEMA NI LAZIMA UWE UMEVAA VIATU VYA MAGUFULI kinyume nahapo hutoeleweka hata ufanye nn.
Dr Nchimbi, asidhani yeye ni speshooo sana, DOLA inajua , na DOLA ndio inayoeneesha CCM, Mh Paul Makonda, majuzi kagusia kitu Cha msingi sana kwamba "Kwenye CCM yetu Kuna wakati hatuleti MGOMBEA kisa anapendwa na wajumbe, Kuna wakati tunawasikiliza Wananchi wanataka nini!!.
Dr. Nchimbi akitaka Vita na Makonda, Ataanguka yeye mwenyewe !!.
Makonda ndio wale ambao ukiwagusa, Mungu anakuchapa.
Makonda keshapewa Baraka zoooote na Wazee wa Nchi.