Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Sijakataa, Nimepinga tu Hoja kwamba India ni Ngumu kutawaliwa na Waisilamu uliandika juu.

Ukipata Mtu mwenye Akili kuwatawala wahindi ni rahisi sana, mpaka sasa wanatumika kote kote na West na East hali wao hawana kitu. Hakuna Utofauti kivile baina ya Africa na India.

Kwa Ukubwa wa India sasa hivi ilitakiwa iwe level moja na Kina Urusi, China, Usa na Japan.
Hakuna sehemu nimeandika Wahindi kutotawawila na Waislamu. Wala sijataja utawala wa Wahindi, Abdul Kalam si alikuwa Mwislamu na akawa kiongozi wa India tena akawa successful na hapo aliisaidia India kutengeneza bomu la nyuklia.

Kuchagua Rais Mkristo pale Zanzibar ni kitu kingine, kugeuza Zanzibar isifunge mwezi wa Ramadhani ni kitu kingine kabisa ambacho Rais Mkristo hawezi na akilazimisha ajiandae kupambana
 
QUR'AN 4:36
Worship Allah (alone) and associate nothing with Him,and do good to parents,to kinsfolk,to orphans,to the needy,to neighbour who is a relative,to the neighbors who is a stranger.....

Hayo ndo mafundisho ya uislam,hayo yako umeyatoa wapi na kudai ni ya uislam!?

Quran na hadith za kiislam zimejaa contradictions. Verse chache zina mafunzo mazuri. Ila verse nyingi zimejaa chuki kwa watu wasio waislam.

Mtu kuhama dini ya kiislam ni anauliwa kwa kukatwa kichwa , hiyo ipo mpaka leo kwenye nchi zote zinazofata sharia za kiislam. Wanamuita Murtad.

Pia kuna verse za chuki kibao

-O you who believe! Fight those of the unbelievers who are near to you
and let them find in you hardness."
(Quran 9:123)

-And fight them until there is no more persecution and religion is only for Allah"
(Quran 8:39)

-I have been commanded to fight
against people till they testify that there is no god but Allah, and that Muhammad
is the messenger of Allah"
(Muslim 1:33)
 
Maneno yako ya mwisho tu,yameonesha Huna akili kabisaa.

Hivi,upo katika imani and you are proud of,unaweza kweli kujali nini binadamu atakufanyia??

Huku bongo mnavyozinguaga wakristo sijui quran imechanwa sijui mtu kala mchana,jamaa hawajinugi kitu.

Kama unamwamini Allah,then tulia..kadhia zote wacha zikupate,ila yote na yote,usimfanyie mwenzako usichopenda kufanyiwa.
 
Na issue ya Myanmar usiongee kabisa mkuu, ugaidi gani Myanmar hivi hata hao waliokuwa wakiuliwa umewaona? Watu wa vijijini kabisa wamechoka vibaya mno. Watu wanafika wanafanya masacre wilaya nzima, watu wamekufa kwa malaki.
Ni kweli kabila la Lohingya linatia huruma sana, kwa madhira wanayofanyiwa na Serikali ya Burma. Ila kumbuka tena Baba Mwajuma kuwa Yao ni Wabudha. They don’t have CHRIST the Prince of Peace. Sasa wamekutana na Waislam ambao nao hawana Christ. Usije ukamiambia suala la Israel vs Palestinian. Kwani Wayahudi hawana Christ. Maskini Christian Palestinians are pursecuted by Israel and their fellow muslim Palestinians
 
Quran na hadith za kiislam zimejaa contradictions. Verse chache zina mafunzo mazuri. Ila verse nyingi zimejaa chuki kwa watu wasio waislam.

Mtu kuhama dini ya kiislam ni anauliwa kwa kukatwa kichwa , hiyo ipo mpaka leo kwenye nchi zote zinazofata sharia za kiislam. Wanamuita Murtad.
 
Hadithi Idadi 26,245,inasemaje.msomi kuhusu hayo mambo ya ushoga??
Nelson huyo jamaa asilubabaishe. Siku hizi mambo yote yako mtandaoni. Ona hapa Allah nifuraha yake watu wakitenda dhambi, ili tu wamuombe msamaha
 

Attachments

  • 2C979032-DB12-45CB-8529-F586433A8B20.png
    2C979032-DB12-45CB-8529-F586433A8B20.png
    261.1 KB · Views: 6
NAMNA YA KUJUA HADITHI ILIYO SAHIHI NA ILIYO DHAIFU.

Ndugu msomaji tumeulizwa swali na ndugu yetu Hamza M Mikana katika comment za madarsa yetu lakini kutokana kuzuka gogoro hasa kwa wale wapenzi wa kutumia hadithi dhaifu mpaka huulizwa maswali yasiyo tarajiwa kuuliza mtu anaejinasibisha kuwa yeye ni msomi.

Kwa faida ya wote tunaleta tena somo hili kwenu ili ifahamike kinacho sababisha hadithi kuwa sahihi au kuwa dhaifu.

Kigezo cha hadithi kuwa sahihi ni kupatikana masharti matano yafuatayo.

Hata hivyo wapo wanaohoji juu ya kanuni hii, je kuna dalili juu ya vigezo hivyo vitano? Jibu vigezo vyote vimeendana na dalili kama ifuatavyo.

الحديث الصحيح.

وهو ما اتصل سنده بنقل العدل، الضابط عن مثله ولم يكن شاذاً ولا مُعللاً،

(a) Sharti la kwanza ni kuungana Sanadi, mpokezi iwe kweli kapokea kwa mtu anae mtaja ili asimulie kilekile alicho kipokea kwake ili kulinda ukweli, Qurani inatutaka tuwe wakweli.

Dalili juu ya hilo.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِين.

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli ( Attawbah 119)

(b)Pili mpokezi awe ni mtu muadilifu,Qurani inatutaka tuwe waadilifu.

Dalili juu ya hilo.

اعْدِلُوا هُوَ أَقْرَبُ لِلتَّقْوَىٰ ۖ وَاتَّقُوا اللَّهَ ۚ إِنَّ اللَّهَ خَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُون.َ

Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda (Maidah 8).

(c)Tatu mpokezi anatakiwa kuhifadhi hadithi ima kifuani au kuandika, Qurani inatutaka kuhifadhi mambo na inapobidi kuandika ili kutunza kumbukumbu.

Dalili juu ya hilo.

وَلَا تَسْأَمُوا أَنْ تَكْتُبُوهُ صَغِيرًا أَوْ كَبِيرًا إِلَىٰ أَجَلِهِ ۚ ذَٰلِكُمْ أَقْسَطُ عِنْدَ اللَّهِ وَأَقْوَمُ لِلشَّهَادَةِ .

Wala msipuuze kuliandika deni likiwa dogo au kubwa mpaka muda wake. Hayo ndiyo haki zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu, na ndiyo sawa zaidi kwa ushahidi (Albaqarah 282)

(d)Nne Mpokezi anatakiwa asitofautiane na aliye mtangulia, Qurani inatutaka kutunza amana kama tulivyo ipokea bila ya kubadilisha chochote maana hadithi ni amana zifikishwe kwa walengwa kama zilivyo simuliwana Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, hivyo mpokezi yatakiwa aisimulie kama alivyo ipokea.

Dalili juu ya hilo.

إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكُمْ أَنْ تُؤَدُّوا الْأَمَانَاتِ إِلَىٰ أَهْلِهَا

Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe (Annisaai 48).

(e)Tano isipatikane hila kwa mpokezi kama tabia ya kusahau au uzee sana au utoto sana, au ugonjwa wa akili ikawa ni sababu ya kupoteza kumbukumbu.

Dalili juu ya hilo.

عن عائشة عن النبي صلى الله عليه وسلم قال : رفع القلم عن ثلاث عن النائم حتى يستيقظ وعن الصغير حتى يكبر وعن المجنونحتى يعقل.( النسائي :3432)

Amesimulia mama Aisha, kutoka kwa Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, lmeinuliwa kalamu kwa watu watatu, Aliye lala mpaka atakapo amka, Mtoto mdogo mpaka akikua, Na mwendawazimu mpaka akipona (Anasaai 3432).

Hizo ni shuruti za kuwa hadithi ni sahihi na zote zimeendana na Qurani na Sunna.

VIGEZO VYA HADITHI KUWA NI DHAIFU.

الحديثالضعيف.

وهو ما لم يجتمع فيه شروطالصحيح ولا شروط الحسن.

Hadithi dhaifu wakasema ni kuwa kinyume chake vigezo vya hadithi sahihi kama ifuatavyo.

(a)Kutokuwepo muunganiko wa sanadi ikawa mtu anasimulia kutoka kwa fulani hali ya kuwa huyo anaemtaja hakupokea kwake au hawakuwahi kuonana kabisa.

(b) Kukosekana uadilifu kwa mpokezi akawa siyo mtu mwenye kuaminika katika jamii.

(c) Mpokezi kukosa sifa ya kuhifadhi hadithi iwe kifuani au kuandika.

(d)Mpokezi kutofautiana na aliye mtangulia kuipokea hadithi hiyo.

(e) Mpokezi kuwa na hila itakayo mpelekea kuto aminika kuhifadhi kwake, kama kuwa msahaulifu au kuugua kichaa n.k.
Haya Ona hii Sahih Hadithi inayosema Allah ataka watu wafanye dhambi, ili tu wamuombe msamaha
 

Attachments

  • 318BD77C-8540-46F6-9B85-97FE8E2F8B25.png
    318BD77C-8540-46F6-9B85-97FE8E2F8B25.png
    261.1 KB · Views: 6
Haya Ona hii Sahih Hadithi inayosema Allah ataka watu wafanye dhambi, ili tu wamuombe msamaha
Sahil

Asili ya binadamu ni kutenda dhambi hata biblia inamjua hyo ndo asili yake ndo maana Kuna msamaha hata leo tunajua hakuna asiye na dhambi .


Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.


Kama unabisha niletee binadamu asiye na dhambi ...Binadamu wote ni wadhaifu ndo maana Kuna ibada na kukumbushana
 
Sahil

Asili ya binadamu ni kutenda dhambi hata biblia inamjua hyo ndo asili yake ndo maana Kuna msamaha hata leo tunajua hakuna asiye na dhambi .


Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.


Kama unabisha niletee binadamu asiye na dhambi ...Binadamu wote ni wadhaifu ndo maana Kuna ibada na kukumbushana
Sikiliza huyo mwenzio akipewa akielimishwa
 
Sikiliza huyo mwenzio akipewa akielimishwa

Kuna nn hapo sasa😂😂nimesoma yote no porojo hata media ni ya wakristo watupu hawana mpya.


Bible 👇👇

Hali ya dhambi iko kwa kila binadamu. Sisi sote tuna asili ya dhambi, na huathiri kila sehemu yetu. Hii ni mafundisho ya uharibifu wa jumla, na ni Kibiblia. Sisi sote tumepotea (Isaya 53: 6). Paulo anakiri kwamba "shida ni pamoja nami, kwa maana mimi ni binadamu wote, mtumwa wa dhambi" (Warumi 7:14). Paulo alikuwa na mwili wa "asili ya dhambi" mtumwa wa sheria ya dhambi "(Warumi 7:25). Sulemani anakubaliana: "Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi" (Mhubiri 7:20). Mtume Yohana labda anaweka waziwazi: "Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu" (1 Yohana 1: 😎.


Hata nyie mnaamini kifo ni kwamba vile ya madhambi ya wanadamu na ndo maana kinawapata wote👇👇
Kutoka kwa kizazi hadi kizazi, asili ya dhambi ilipitishwa kwa wanadamu wote: "Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti; na hivyo mauti ikawafikia watu wote kwa sababu wote wamefanya dhambi" (Warumi 5:12). Aya hii pia inatoa ukweli usio na nguvu kwamba asili ya dhambi inaongoza hadi kifo (tazama pia Warumi 6:23 na Waefeso 2: 1).


NB; NIPO ONLINE MASAAA 24 ULIZA CHOCHOTE
 
Sikiliza huyo mwenzio akipewa akielimishwa

Hii channel ni pumba kwanza hajiami I anaficha then anafuta baadhi ya reply anaacha zile zinazosapot...hao andika wamaslimu ni fictions hakuna uhalisia kabisa.

Mtu muoga mbona wapo waubiri wakubwa duniani wanajulikana hata bongo mbona midahalo mikubwa ipo.
 
Mashoga lazima mjitetee tu ...kwa ujinga wenu uliona wapi mnavyopishana kwa madhehebu mara kuwakandie Roma ,mara katoliki.

Nyie ndo mna makundi na hata kujumuika pamoja hamuwezi kabisa🤣🤣🤣wapo wanasapot ushoga wengine hatwaki, wapo wala nguruwe wengine hawataki
Uzi ulikuwa na flow mzuri hadi wewe ulipoingia na kuanza kuchafua.

Hivi huwaga hujistukii hii Tania yako ya kuleta violence na kuquote watu maneno ya hovyo? Alafu unapenda kutaja neno shoga karibia kila comment,Kuna kitu hakipo sawa kwako.
 
Back
Top Bottom