fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mimi
Pia issues za kuwanyanyasa waafrika( watu wenye ngozi nyeusi) zimekuwa kubwa sana India. Ifikie kipindi jicho la kimataifa linaloshigurikia usawa wa kibinaadamu lishugurike na hawa watu. Nyumbani Tanzania wanaishi kwa amani sana bila hata kuingiliwa katika religious practices zao. Wana bahati sana sina mamlaka ya kutoa amri juu yao na ikatekelezeka vinginevyo they could have felt the same pinch
Mimi ni mkristo na nasema hii sio haki kabisa ya kuabudu. Wahindi wamevuka mipaka katika unyanyasaji wa binadamu wenye milengo tofauti na wao. Kwanini hawaeshimu Imani za wengine mpaka kufikia hatua ya kuwatendea vibaya watu wenye Imani tofauti na wao?Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote.
Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi.
Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
View attachment 2545861
View attachment 2545864