Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wapi kwa hyo kanjsa linasapot ushoga nawe unalisapot huwezi kupinga huko German?Mtajichanganya sana, hatimaye mnakuta ukweli uko kwenye Biblia; na ndyo maana Yule Shekhe kasima Vijana wanaacha Uislamu Kama Sunami. Pia Ona kule Irani wale watoto wa kike walivyowakataa Maayatolah
Mtajichanganya sana, hatimaye mnakuta ukweli uko kwenye Biblia; na ndyo maana Yule Shekhe kasima Vijana wanaacha Uislamu Kama Sunami. Pia Ona kule Irani wale watoto wa kike walivyowakataa Maayatolah
Nelson huyo jamaa asilubabaishe. Siku hizi mambo yote yako mtandaoni. Ona hapa Allah nifuraha yake watu wakitenda dhambi, ili tu wamuombe msamaha
Wakristo gani wa Palestine wanaokua prosecuted na waislamu, Nyie jamaa aisee mpo brainwashed Sana.Ni kweli kabila la Lohingya linatia huruma sana, kwa madhira wanayofanyiwa na Serikali ya Burma. Ila kumbuka tena Baba Mwajuma kuwa Yao ni Wabudha. They don’t have CHRIST the Prince of Peace. Sasa wamekutana na Waislam ambao nao hawana Christ. Usije ukamiambia suala la Israel vs Palestinian. Kwani Wayahudi hawana Christ. Maskini Christian Palestinians are pursecuted by Israel and their fellow muslim Palestinians
Why utafute mhindi wakati historia yote ipo online na inajulikana? Yani unamove Magoli kwa kitu kidogo hivi?Sasa utakubaliana na mimi moguls walipofika bara hindi waliwakuta wahindi na hawakua jamii ndogo ndogo.Tutafute muhindi atuelezee vizuri hapa historia ya bara hindi.
Kila kitu ukijibiwa kwa hoja unakataa hoja na kusema sio sahihi sababu umeishi nao.Source msomi unatafuta wahusika unaona hali halisi kwa jambo husika.Huwezi kuwazungumzia turks na mambo yao kama hujawahi kukaa na jamii ya turks na kujua mambo na historia yao.Hizo reference ni mapendekezi tu ya individuals.Njia nzuri ya kuijua dunia ni kusafiri sehemu mbalimbali duniani
Wakristo gani wa Palestine wanaokua prosecuted na waislamu, Nyie jamaa aisee mpo brainwashed Sana.
Wakristo wa Palestine wengi wapo sambamba na waislamu kutetea nchi yao.
Pia hakuna dini Duniani ambayo imeua watu wengi kushinda Wakristo, sijajua hiyo Amani unayoiongelea ni ipi.
Mliua watu Jerusalem Nyie Kuna maeneo damu zikawa zinafika kwenye magoti, hizo propaganda zenu kadanganyeni wasiojua.
Hawa jamaa wamekua wakifanya matendo ya kinyama mika na miaka na wanaendelea bila hofu yoyote.
Hii ni hali ilivyokuwa mitaani kipindi cha sikukuu zao za Holi majuzi.
Halafu Watu wakipiga miripiko waitwe magaidi.
View attachment 2545861
View attachment 2545864
Hawa jamaa waache tu wafanye shingo zao ngumu Dunia inasonga mbele kwa haraka sana. Saudi Arabia wenyewe wamestituka. Ona hapa Penye videoZanzibar hapo tu ukila wakati wa mfungo unachapwa bakora. Kwanini uende mbali kuwasema wahindu?
Nakuambia nenda uarabuni huku mitandaoni utakuta chai mbona bado mbishi unaendeleza huu mjadala wakati case tayari closed ?Sasa msomi kwahiyo Mu'waiya Ibn Abu Sufyan alisema uongo na kumsingizia muhamad kwenye hii adithi idadi:16,245??????Maana tulikua tunajadili kuhusu ushoga msomi mmoja akasema ni wakrsto tu na mimi nikamuomba tujadili hii adithi idadi na maneno ya Mu'waiya ibn Abu Sufyan.
Hii sio source mkuu, hata mimi inaweza record video kama hii. Lete source Padre tena wa Palestine akielezea hizo prosecution.
Kupigana kwasababu ya Mungu katika ukristo ni dhambi kama ushoga. Mkristo ukiwa unapigana kwasababu ngumi kwasababu ya mungu utafikia Motoni. Ila muislam anafikia peponi kwasababu mungu wake kamuagiza ampiganie.Islam wao ni violence always,Christians ifike muda tusiwe tumekaa tu, kumuachia MUNGU,tunamchosha bure tu,inatakiwa nasisi tuwaenyeshe hawa
Umesema magaidi halafu unawataja waislam tenaNipo mtwara, nagaidi kwa imani yao ya kiislamu inaongoza kwa kuua watu. Hii haihitaji uelezwe kiundani sababu hata vyombo vya usalama vya Tz vimekiri kuwepo kwa huo ushenzi wa watu kutaka nchi iwe ya kiislamu.
Hiyo hadith umeitoa wapi? Au umeokota mtandaoni kwa wenzako wazee wa uzushi? Kwenye kitabu gani cha hadith zilizokusanywa?Mimi nimeuliza kuhusu ushoga na na hii adithi ya Mu'waiya ibn Abu Sufyan adithi idadi:16,245????Maana mdau kasema wakrsto ndio mashoga na mimi nikataka ufafanuzi hii adithi???
Pole kwa kuwa na chuki kiasi hichoSIWAPONDI WAISLAMU WALA KUTETEA WAHINDI.
HAKUNA BINADAMU WAKATILI, WABAYA, WABAGUZI, WATU WASIOFAA KAMA WAISLAMU.
Unajua hawa wanakuja na quotation za hadithi za ajabu halafu wanajidai ati source yake 'Sahih Bukhari' na wengine.Hiyo hadith umeitoa wapi? Au umeokota mtandaoni kwa wenzako wazee wa uzushi? Kwenye kitabu gani cha hadith zilizokusanywa?
Wewe unaongelea mbali huko zanzibar tu hapo ni shida wakristo hawapumui ..Yeah nimekaa nchi zenye majority muslim kama Indonesia nimeona makanisa yakivunjwa.
Wanaokota vitu ovyo mtandaoni. Ujue hawa wengi kama mazezeta wakiambiwa kitu wanachukua kama kilivyo bila kufanya uchunguzi.Unajua hawa wanakuja na quotation za hadithi za ajabu halafu wanajidai ati source yake 'Sahih Bukhari' na wengine.
Wengine wanakuja na text ya kiarabu wamecopy kutoka any source ambayo hata haihusu issue ile, wanakuja kupaste hapa halafu wanaandika source.
Lengo lao ni kuonyesha ati mambo hayo yamo kwenye uislamu, sijui labda wanafundishwa kuandika uzushi huo kwa makusudi.