Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wapi kwa hyo kanjsa linasapot ushoga nawe unalisapot huwezi kupinga huko German?Mtajichanganya sana, hatimaye mnakuta ukweli uko kwenye Biblia; na ndyo maana Yule Shekhe kasima Vijana wanaacha Uislamu Kama Sunami. Pia Ona kule Irani wale watoto wa kike walivyowakataa Maayatolah
Unamkumbuka kimaro aliposema vijana wa kikristo wengi sio waaminifu ?
Ukweli upi na Issa tunasoma ipo sura na sio Mungu ni nabii !
Wapi hata kweny biblia kasema yeye ni Mungu? Sisi tunajua mitume wote duniani