Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Zanzibar hapo tu ukila wakati wa mfungo unachapwa bakora. Kwanini uende mbali kuwasema wahindu?

Zanzibar ni nchi ya Kiislamu, Ni nidhamu kwa wageni kufata taratibu ya sehemu uliokwenda. Hao unaowana niwazawa kabisa kwenye hiyo miji na wanafanyiwa mambo kama hayo.
 
Wacha wanyooshwe tu hawa watu unamuuzia kiwanja anakua jirani wako anaanza timbwili hakuna kufuga nguruwe blaaah blaah nyingi
 
Shida watu wanasahau kabla ya kuwa wahindu, waislamu, wakristo, wayahudi, au dini yoyote ile...wanatakiwa wakumbuke kuwa binadamu kwanza.
 
Sema mafundisho ya dini yako kuanzia madrasa yamejazwa chuki. Usiisingizie America .

Ni udhaifu wa kutoona mapungufu yako na kusingizia mwingine asiyehusika. Rudi kwenye mafundisho mnayowakaririsha watoto.
 
Sema mafundisho ya dini yako kuanzia madrasa yamejazwa chuki. Usiisingizie America .

Ni udhaifu wa kutoona mapungufu yako na kusingizia mwingine asiyehusika. Rudi kwenye mafundisho mnayowakaririsha watoto.
Sasa mkuu miaka yooote hiyo ambayo walikua wanaishi kwa Amani mafundisho ya Madrasa hayakuwepo? Why mafundisho ya Madrasa yaanze exactly alivyovamia marekani?

Uisilamu haujaanza Leo wala Jana.
 
Dah hii video nyengine, Dogo anaefanya kazi kwenye resta za first food akinyanyaswa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo hadith umeitoa wapi? Au umeokota mtandaoni kwa wenzako wazee wa uzushi? Kwenye kitabu gani cha hadith zilizokusanywa?
Mkuu mimi ndio nauliza ina maana hii adithi idadi:16,245 waislamu hawaitambui????Au wewe ndio huijui mkuu???
 
Kwahiyo mkuu Mu'waiya ibn Abu Sufyan wewe humujui????Na adithi idadi:16,245 huifahamu???
 
Kila kitu ukijibiwa kwa hoja unakataa hoja na kusema sio sahihi sababu umeishi nao.

Nimekuuliza swali juu umeongelea ushoga, wewe ni Shoga? Ulikaa nao mashoga? Habari zote Duniani zinazotajwa umezi experience wewe
Kuhusu ushoga mkuu ebu tuangalie adithi idadi:16,245 ya mu'waiya ibn abu Sufyan
 
Hautopata majibu tofauti ng'o kwanza ataona kama ni mpya kwa vile hadithi dhaifu hazisomwi ..

Niko pale
Ngoja nitafute sheikh anipe maana ya hilo neno adithi dhaifu na anifafanulie hii adithi idadi:16,246 ya mu'waiya ibn abu sufyan.
 
Hakuna kweny uislamu ndo maana Shari nchi zinatumia sharia ni marufuku na huwezi kukuta huo ujinga ila wananchi wanafanya kwa Siri Tena wengi.

Uislamu umepinga kabisa na hukumu yake ni kali..
Vipi kuhusu adithi idadi:16,246 mu'waiya ibn abu sufyan?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…