Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Mimi nimeuliza tu mkuu wala sina ugomvi na mtu na ndio maana nikasema nitatafuta sheikh anifafanulie hili kuhusu adithi idadi:16,245 Mu'waiya ibn abu sufyan.Kuuliza na kutaka kujua sio ujinga mkuu.Humu naona watu hawanieleweshi kwa ufasaha
Ndiyo nimekuuliza umeitoa wapi hiyo hadith Mu'waiya ibn Sufyan idadi 16245. Ulipoitoa kwanza ilibidi akuoneshe chanzo.
Ninakwambia kitu kama hicho hakipo. Naona unazidi kukaza shingo. Ulete chanzo ulichokitoa. Kama umeipata kwenye vipeperushi vya kanisani kwenu ingebidi umuulize hicho kitabu.
 
Na kwanini waseme zimechuja au kuna kitu wanazuoni wanataka kuficha ili waumini wadadisi wasihoji
Qur an ndo Haina shaka na ndo muongozo wa ummah huu...Hadithi ni masimulizi uislamu kupitia sheria zote lazima viwe accepted na Qur an ya Mwenyezi Mungu.

Hakuna sehemu Mungu kashusha hadithi sema ni vizazi waliwahi kuwa karibu na mtume wanasimulia wengine hata baada ya mtume.

Baadhi ya mambo Mtume alikuwa akifanya ndo tunaita "Sunnah" yaani vitendo kama kuao wanawake wengi alifanya ila sio kweli...Baadhi ya Sunnah ni vitendo vilifanywa mbele mtume na yeye akakubali yaani hakupinga kwa sababu mambo mengi ya ovyo aliyapinga waziwazi .

Hadith ni inaweza kubadilishwa kutokana na wasimuliaji na mapokezi wanaweza kuongeza chumvi ndo maana lazima urelate na Qur an kama inapinga maneno ya Qur an ni dhahiri ni uongo.
 
Ndiyo nimekuuliza umeitoa wapi hiyo hadith Mu'waiya ibn Sufyan idadi 16245. Ulipoitoa kwanza ilibidi akuoneshe chanzo.
Ninakwambia kitu kama hicho hakipo. Naona unazidi kukaza shingo. Ulete chanzo ulichokitoa. Kama umeipata kwenye vipeperushi vya kanisani kwenu ingebidi umuulize hicho kitabu.
Mimi ni mchambuzi wa dini za wanadamu,sasa kuuliza sio ujinga.Mambo ya kanisani yamekujaje hapa?????Au hupendi mimi kuuliza na kuhoji na katika uislamu watu hawaruhusiwi kuhoji ndugu yangu.Ngoja nitafute ulamaa anisaidie kuhusu hii adithi idadi:16,245 ya mu'waiya ibn abu sufyan maana nadhani ni ngeni kwako ndugu yangu.
 
Qur an ndo Haina shaka na ndo muongozo wa ummah huu...Hadithi ni masimulizi uislamu kupitia sheria zote lazima viwe accepted na Qur an ya Mwenyezi Mungu.

Hakuna sehemu Mungu kashusha hadithi sema ni vizazi waliwahi kuwa karibu na mtume wanasimulia wengine hata baada ya mtume.

Baadhi ya mambo Mtume alikuwa akifanya ndo tunaita "Sunnah" yaani vitendo kama kuao wanawake wengi alifanya ila sio kweli...Baadhi ya Sunnah ni vitendo vilifanywa mbele mtume na yeye akakubali yaani hakupinga kwa sababu mambo mengi ya ovyo aliyapinga waziwazi .

Hadith ni inaweza kubadilishwa kutokana na wasimuliaji na mapokezi wanaweza kuongeza chumvi ndo maana lazima urelate na Qur an kama inapinga maneno ya Qur an ni dhahiri ni uongo.
Kwahiyo mu'wayia Ibn Abu Sufyan hajawahi kuwepo duniani msomi?????Na hii adithi idadi:16,245 haijawahi kuwepo duniani?????
 
Qur an ndo Haina shaka na ndo muongozo wa ummah huu...Hadithi ni masimulizi uislamu kupitia sheria zote lazima viwe accepted na Qur an ya Mwenyezi Mungu.

Hakuna sehemu Mungu kashusha hadithi sema ni vizazi waliwahi kuwa karibu na mtume wanasimulia wengine hata baada ya mtume.

Baadhi ya mambo Mtume alikuwa akifanya ndo tunaita "Sunnah" yaani vitendo kama kuao wanawake wengi alifanya ila sio kweli...Baadhi ya Sunnah ni vitendo vilifanywa mbele mtume na yeye akakubali yaani hakupinga kwa sababu mambo mengi ya ovyo aliyapinga waziwazi .

Hadith ni inaweza kubadilishwa kutokana na wasimuliaji na mapokezi wanaweza kuongeza chumvi ndo maana lazima urelate na Qur an kama inapinga maneno ya Qur an ni dhahiri ni uongo.
Kwahiyo bwana ibn Abu Sufyan ni muongo kuhusu aliyofanya muhamad na Ali????
 
🤣🤣🤣Swahaba au ? Maana ndo nasikia hyo hadithi yake
Basi wewe huwezi kunipa jibu ngoja nitafute wanazuoni wa dini ya kiislamu waliobobea wanijuze kuhusu adithi idadi:16,245 kama huyu bwana Ibn Abu Sufyan alisema uongo kuhusu muhamad na Ali.
 
Zipo wapi hizo hadithi ?zilete hapa unazunguka 🤣🤣.

Siwez kulazimisha ukitaka majibu ntakupa!
 
Nina wasiwasi kuna ukweli unafichwa hapa ina maana huyu ibn Abu Sufyan alidanganya na kwa manufaa ya nani??????Ali au muhamadi???Ngoja nitafute wanazuoni wanisaidie katika hili
Angalia kwa akili tu Qur an ndo muongo na ndo kitabu cha waislamu hizo hadithi ni masimuliz tu baadhi ni uongo.

Lazima ufananishe na Qur an kama haviendani basi sio kweli
 
Au huyu ibn Abu Sufyan humjui?????Ngoja niwatafute wanazuoni wengine wanisaidie mkuu.Kuuliza sio ujinga
 
Qur an ndo Haina shaka na ndo muongozo wa ummah huu...Hadithi ni masimulizi uislamu kupitia sheria zote lazima viwe accepted na Qur an ya Mwenyezi Mungu.

Hakuna sehemu Mungu kashusha hadithi sema ni vizazi waliwahi kuwa karibu na mtume wanasimulia wengine hata baada ya mtume.

Baadhi ya mambo Mtume alikuwa akifanya ndo tunaita "Sunnah" yaani vitendo kama kuao wanawake wengi alifanya ila sio kweli...Baadhi ya Sunnah ni vitendo vilifanywa mbele mtume na yeye akakubali yaani hakupinga kwa sababu mambo mengi ya ovyo aliyapinga waziwazi .

Hadith ni inaweza kubadilishwa kutokana na wasimuliaji na mapokezi wanaweza kuongeza chumvi ndo maana lazima urelate na Qur an kama inapinga maneno ya Qur an ni dhahiri ni uongo.
Basi na hili la adithi idadi:16,245 ni sunna pia kama ibn Abu Sufyan anavyoelezea.Au nakosea kuuliza mkuu???Kuuliza sio ujinga ni kutaka kujua
 
Hao waislamu wao kla sehemu wanaowewagwa tu iyo dini imekaa kimajungu na kimattzo tu ndo maana yanawakuta wao kla sku

Afu pia tuache uongo na unafiki mlishaenda Saudi Arabia ,bahrain, oman, na Qatar mkaona matendo wanayowafanyia waumini wa dini zingne

Nchi nying za kiislamu hakuna uhuru wa kuabudu dini zingne uwo ndo ukwel
Ila wao wakitendewa ivyo inakua ttzo

India ni hunduism wacha wafanye kle wanataka sabu nchi ni yao na sheria ni zao
 
Angalia kwa akili tu Qur an ndo muongo na ndo kitabu cha waislamu hizo hadithi ni masimuliz tu baadhi ni uongo.

Lazima ufananishe na Qur an kama haviendani basi sio kweli
Asante kwa maelezo yako ndugu yangu.Ngoja nitafute na wengine wanisaidie katika hili
 
Back
Top Bottom