Bila shaka chief, ingawa mengi uliyo yabainisha hapo juu mimi siyajui kwasababu sijawahi kujipima kama watu wanavyo nitazama.Nafsi yako imejaa upendo. Najua ni asili yenu lakini wewe ni zaidi maana hauna tabia ya kujikweza.
Natamani nikutane nawe physically, una umri mdogo lakini una mambo mkubwa.
Heshima yako shemeji [emoji120][emoji120]
Nitakutafuta, nipokeee...
kwema mkuu mi niko dodoma na niko kwenye hiyo sekta ya bajaj kama ukirudi dom nitafute tuyajenge..Ahsante ndugu yangu.
Mkuu, ugeni wangu kwa huo mkoa unaniponza,lakini nitajitahidi mwisho wa mwezi huu nirudi ili niweze kupata nafasi ya kuonana na wahusika wa maeneo hayo.
Nashukuru sana kwa kunitia hamasa.
kwema mkuu mi niko dodoma na niko kwenye hiyo sekta ya bajaj kama ukirudi dom nitafute tuyajenge..Ahsante ndugu yangu.
Mkuu, ugeni wangu kwa huo mkoa unaniponza,lakini nitajitahidi mwisho wa mwezi huu nirudi ili niweze kupata nafasi ya kuonana na wahusika wa maeneo hayo.
Nashukuru sana kwa kunitia hamasa.
Kwema kabisa.kwema mkuu mi niko dodoma na niko kwenye hiyo sekta ya bajaj kama ukirudi dom nitafute tuyajenge..
Mkuu, binafsi sina connection pia uelewa wa biashara ya mchele, na kwakuwa Dodoma ipo katikati kijiografia... Hivyo mchele huingia kwa wingi zaidi toka Kilosa, Bahi na Kyela.Mzee ushimen,mi naomba location ya kuuza mchele wa jumla na rejareja pia soko la kuuza nguruwe wazima.Mkoa wa dodoma
Mkuu, mimi ni maskini sana. Ingawa ninasema asante Mungu kwasababu ninapata ugali wa kila siku, pia vijana wanapata mahitaji yao ya kila siku.Kwa kwanini hutegi biashara maeneo hayo ukapiga mkwanja! au tayari ni tajiri?
Kwani unamlipa ushimen anayetoa mawazo yake,anatoa mawazo kulingana na anachokiona na anavyokutana navyo katika mazingira yake huko dom.Sijaona wazo hapo zaidi ya point ya k-vant
SijaipataPamoja mkuu...
PM yangu umeipata..??