Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

Nafsi yako imejaa upendo. Najua ni asili yenu lakini wewe ni zaidi maana hauna tabia ya kujikweza.
Natamani nikutane nawe physically, una umri mdogo lakini una mambo mkubwa.
Heshima yako shemeji [emoji120][emoji120]
Nitakutafuta, nipokeee...
Bila shaka chief, ingawa mengi uliyo yabainisha hapo juu mimi siyajui kwasababu sijawahi kujipima kama watu wanavyo nitazama.
Tena nakukaribisha sana Dodoma, na ninaamini ukianza ujasiliamali mapema... Naamini baada ya miaka michache utakuja kuwa jabali kama nilivyo mimi hapa Dodoma, nashkuru Mungu silali njaa na vijana wanakwenda shule na hata K-Vant inapatikana...teh[emoji23]
 
Ahsante ndugu yangu.
Mkuu, ugeni wangu kwa huo mkoa unaniponza,lakini nitajitahidi mwisho wa mwezi huu nirudi ili niweze kupata nafasi ya kuonana na wahusika wa maeneo hayo.
Nashukuru sana kwa kunitia hamasa.
kwema mkuu mi niko dodoma na niko kwenye hiyo sekta ya bajaj kama ukirudi dom nitafute tuyajenge..
 
Ahsante ndugu yangu.
Mkuu, ugeni wangu kwa huo mkoa unaniponza,lakini nitajitahidi mwisho wa mwezi huu nirudi ili niweze kupata nafasi ya kuonana na wahusika wa maeneo hayo.
Nashukuru sana kwa kunitia hamasa.
kwema mkuu mi niko dodoma na niko kwenye hiyo sekta ya bajaj kama ukirudi dom nitafute tuyajenge..
 
Bro Ushimen asante sana kwa fursa hizi ngoja nipambane nifanye hata moja aisee maana zote hizo ziko valid kabisa ni nshu ya kuchangamka tu kabla hazijapotea
 
Mzee ushimen,mi naomba location ya kuuza mchele wa jumla na rejareja pia soko la kuuza nguruwe wazima.Mkoa wa dodoma
 
Mzee ushimen,mi naomba location ya kuuza mchele wa jumla na rejareja pia soko la kuuza nguruwe wazima.Mkoa wa dodoma
Mkuu, binafsi sina connection pia uelewa wa biashara ya mchele, na kwakuwa Dodoma ipo katikati kijiografia... Hivyo mchele huingia kwa wingi zaidi toka Kilosa, Bahi na Kyela.
Kwa lugha nyepesi, biashara ya mchele Dodoma ina ushindani mkubwa sana.
Upande wa soko la mboga, hiyo inauzika mkuu zaidi ni wewe tu na speed yako
 
Kwa kwanini hutegi biashara maeneo hayo ukapiga mkwanja! au tayari ni tajiri?
Mkuu, mimi ni maskini sana. Ingawa ninasema asante Mungu kwasababu ninapata ugali wa kila siku, pia vijana wanapata mahitaji yao ya kila siku.
Mkuu, binafsi nina fanya vitu vinne kwa pamoja na hivyo nahisi tu vinanitosha kwa sasa.
Na hili wazo la kuwaelekeza watu fursa ni kwasababu nimekuwa na mtazamo chanya kwa kila ninapo pita, nimekuwa naangalia nini ama huduma ama biashara ipi inaweza ikafaa katika eneo husika.
Naomba nimalizie kwa kusema kwamba mimi sikufanikiwa kuwa na moyo wa kibinafsi na hii ndio hasa imenifanya nijaribu kushare yale ninayo yaona hapa
 
Kwani unamlipa ushimen anayetoa mawazo yake,anatoa mawazo kulingana na anachokiona na anavyokutana navyo katika mazingira yake huko dom.
Ahsante sana chief...
Ebu aniache na K-Vant zangu
 
Habari mkuu ushimeni,naomba pia maeneo ya kuuza mayai ya kisasa,au biashara ya mayai ya kisasa kwa dodoma
 
Back
Top Bottom