"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Na mbaya zaidi eti akanishauri kwamba nioe ili niwe na mawazo yalio pevuka....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Minilitarajia ataniuliza kwamba nina watoto wangapi? Nipo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?
Sasa ndio mjibu manengelo, una watoto wangapi?, ndoa ina umri gani? Je, watoto wako ni wa mama mmoja?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]be you bwana! Wengine tunapata vitu tofauti, yaani stress mtaani hadi mtandaoni!!!
Sawa mkuu, ushauri wako nimeupokea kwa dhati kabisa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nitafute jibu la ile comment, nikasema ahaa kumbe
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa ndio mjibu manengelo, una watoto wangapi?, ndoa ina umri gani? Je, watoto wako ni wa mama mmoja?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Ngoja nimsubiri mkuu, akiniuliza niramjibia
 
Hivi unayajua matani ya Ushimen lakini [emoji23][emoji23][emoji23] ile picha aliyokuwa anaiweka wiki hii aisee kama ulikuwa unakula inakulazimu uchukue break kidogo
Babe....
Kumbe ulikua mfuatiliaji mzuri wa seasons picha eehhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu ungetuwekea na kapicha kidogo ka kusindikiza Uzi..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…