ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Pole rafiki! Itakuwa huwezi mautani wewe[emoji23]Wakati mwingine masikhara yakizidi sana yanakuwa kero. Comment haihusiani na mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole rafiki! Itakuwa huwezi mautani wewe[emoji23]Wakati mwingine masikhara yakizidi sana yanakuwa kero. Comment haihusiani na mada
Sasa ndio mjibu manengelo, una watoto wangapi?, ndoa ina umri gani? Je, watoto wako ni wa mama mmoja?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]Na mbaya zaidi eti akanishauri kwamba nioe ili niwe na mawazo yalio pevuka....tehteehh [emoji12] [emoji12]
Minilitarajia ataniuliza kwamba nina watoto wangapi? Nipo kwenye ndoa mwaka wa ngapi?
Mbona amepokea ushauri maana yake si kwamba yupo singo [emoji85][emoji85][emoji85]Sasa ndio mjibu manengelo, una watoto wangapi?, ndoa ina umri gani? Je, watoto wako ni wa mama mmoja?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
Kibuti hakijawahi kumuhusu mdaka chozi...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Ungesema tu uliiona maana hashindwi kukiwekea uioneHiyo sikubahatika kuiona!!!
@ushimen niwekee hiyo picha iliyokera wengi...Ungesema tu uliiona maana hashindwi kukiwekea uione
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kukuwekea nimeshampiga biti@ushimen niwekee hiyo picha iliyokera wengi...
...wewe ndio ini mtia nyongo wake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kukuwekea nimeshampiga biti
MuoneeBabe....
Kumbe ulikua mfuatiliaji mzuri wa seasons picha eehhh...[emoji12] [emoji12] [emoji12]