"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Asante sana mkuu...
Nilizaliwa tarehe 21 March 1981.
Bilashaka nimekujibu vyema


Una 39 nw..bt kiuhalisia husound hyo miaka .unasound kama 23yrs!oa sasa ili uwe na mawazo fulan postive ...mazuri mazuri...!acha utoto..sio upunguze hapana acha kbs age hyo kuna wenzako wana watoto wakubwa !maana nami umenipita mbali tu .Happy bdy ushimen
 
Happy birthday bro.
Mungu akujaalie maisha marefu.
Bythaway una bati hapo nichukue fegi??
 
Kheri na fanaka ya siku ya kuzaliwa mkuu..

Swali: Unamwambia nini kijana ambaye hajaoa au mwanaume aliye tayari ktk ndoa.. Ambaye ataangukia kwa mke ambaye hawapendi ndugu wa mume(hasa kukaa na mama mkwe) afanye nini?

Sent using Infinix Hot 5
Asante kwa good wish mkuu.
Naomba nikujibu kama ifuatavyo.....
Kwanza swala la kuoa ama kuolewa ni utashi na utayari wa mtu mmoja ambae ni mwanamke ama mwanaume.
Pili unapo oa ama kuolewa, tambua kwamba umeingia kwenye taasisi yenye changamoto nyingi, na ndoa huwatenfanisha watu na wazazi, familia pamoja na marafiki.
Na swala la kupendwa ukweni ama usipendwe hili ni jambo lingine kabisa, na jambo la kukumbuka sikuzote ni kwamba mkeo ama mumeo sio wa familia yenu ama yao.
 
Asante mkuu kwa majibu, kunywa Fanta Pineapple kwenye grocery iliyo karibu yako alafu bonyeza 1kukubali
2 kukataa
 
Back
Top Bottom