"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Una 39 nw..bt kiuhalisia husound hyo miaka .unasound kama 23yrs!oa sasa ili uwe na mawazo fulan postive ...mazuri mazuri...!acha utoto..sio upunguze hapana acha kbs age hyo kuna wenzako wana watoto wakubwa !maana nami umenipita mbali tu .Happy bdy ushimen
Asante kwa ushauri mzuri sana mkuu...[emoji120]
Lakini kwa lile la jana, ebu lisikufanye unichukie tafadhali....
 
Enjoy your birthday mkuu,katika watu peace humu ndani mmoja wapo ni wewe ,keep it up
Asante sana mkuu...
Walau nimepata positive comments for the first time...[emoji12] [emoji12]
 
Happy birthday bro.
Mungu akujaalie maisha marefu.
Bythaway una bati hapo nichukue fegi??
Asante mkuu, bati sina maana nyumba yetu ndio kwanza imefika kwenye lenta
 
Back
Top Bottom