Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Asante sana mkuu...
Nilizaliwa tarehe 21 March 1981.
Bilashaka nimekujibu vyema
Asante sana mkuu.Hbd 2 u
Picha yako kwenye avatar umeipata wapi, na siku ya kwanza ulivyoiona uliichukuliaje?
Asante kwa good wish mkuu.
Nikikuja kwenye swali lako, jibu ni kwamba ile picha naipenda kwasababu tu ninapenda maskhara na kua tofauti kidogo na wingi
khaaa unaamanisha amekufwa,😂Heri Mkuu
Sisi wote ni wasafiri
Hapana mkuukhaaa unaamanisha amekufwa,[emoji23]
Asante kwa good wish mkuu.Kheri na fanaka ya siku ya kuzaliwa mkuu..
Swali: Unamwambia nini kijana ambaye hajaoa au mwanaume aliye tayari ktk ndoa.. Ambaye ataangukia kwa mke ambaye hawapendi ndugu wa mume(hasa kukaa na mama mkwe) afanye nini?
Sent using Infinix Hot 5
Hapana mkuu
Kwani wewe hujawahi kusafiri?
Ha Ha Ha haIle ya kucheka inayofanana na avatar yako kila thread unatupia yaan siipendi mimi