shemu twende baada ya pasaka nina kasafari cha kwenda kulehahaha alikuja tzee...hahaha ww ndo unipeleke walau kenya mkuu...nitafurahi mimi..huwez jua
"Dada" yetu Sakayo au sio!Umevurugwa babu acha nijalalie mchepuko wa dada angu
😅😅👅👅👅👅👅 mie nimekuja kibiashara...nachukua nazi mbeya naleta dar .tmr nageukaMkuu nikajua sisi wote ni wa mkoani kumbe mwenzangu upo Daresalama mjini
Kweli Dunia Duara
twende mkuu..i hope tutakuwa na ....
Yaaan ni shida kubwaTena kila thread sijui anajisikia furaha gani
Nazi??[emoji28][emoji28][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104] mie nimekuja kibiashara...nachukua nazi mbeya naleta dar .tmr nageuka
[emoji28][emoji28] Inabidi niondoe matarijio kabisa kumbe upo mjini wa vijijini tumebaki wachache sana[emoji28][emoji28][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104] mie nimekuja kibiashara...nachukua nazi mbeya naleta dar .tmr nageuka
yes...!zinalipaNazi??
Mbeya!!
hhhahaha...huna mpango ww...bas tuchanhie nauli mkuu..mie nitatoa ya chakula njiani[emoji28][emoji28] Inabidi niondoe matarijio kabisa kumbe upo mjini wa vijijini tumebaki wachache sana
Haya shemegi kalale mama...Umevurugwa babu acha nijalalie mchepuko wa dada angu
Mkuu, ebu naomba nikifute hili neno rasmi kuanzia leo. Maana nimejikuta nafanya maskhara hata ninawakwaza member wenzangu humu jf
Kweli Busara zinakuja na Umri...
Dah..kumbe hata kuishi bado hujaanza?..Safi sana mkuu...hata hivyo umekwepa mishale ya kutosha....Wewe komaa huko wakati huku Mimi nakuombea ndani ya siku 365 zijazo uunde robot lako mwenyewe hapo workshop ....libebe keki yako ya kuanzia maisha at 40 [emoji41]Asante sana mkuu...
Nilizaliwa tarehe 21 March 1981.
Bilashaka nimekujibu vyema
mwenzangu mimemzidi kwa miaka miwili atakuwa na miaka 70
Asante mkuu, bati sina maana nyumba yetu ndio kwanza imefika kwenye lenta
Halafu mimi natoa ya maji au na nauli zote? ??hhhahaha...huna mpango ww...bas tuchanhie nauli mkuu..mie nitatoa ya chakula njiani
1. Nitaweka picha badae kidogoHappy birthday brother.... kila siku huwa unanivunja mbavu zangu..uishi miaka mingimingi,,,naomba nikuone bday man tupia kapicha brother [emoji28]
Kwanini unapenda masikhara?
Kwa jiji la dodoma unadhani fursa gani zipo nzuri kuzifanya???
Unadhani Nini kifanyike kupunguza Hali ngumu ya maisha ya vijana wengi hususan wahitimu wa vyuo vikuu??
Ungepewa nafasi ya kuwa rais Sera yako ingekuwa ipi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mimi natoa ya maji au na nauli zote? ??