Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hahaahaaa.....
Asante wana mkuu.
1. Nina watoto 5/wa mama tofauti
2. Sijawahi kuwa na uhakika kama yule dada wa kahama ni mzazi mwenzangu.
3. Hakuna mwanamke nilie wahi na sinto kaa niombe msamaha kwa matukio ya tofauti za kimahusiano zilizo tokea wakati nikiwa bado siaoa rasmi (kanisani).
Na mwisho wa siku ilikua ni lazima ifike wakati nioe mke mmoja tu mkuu.
4. Watoto wangu wote ninaishi nao, na wote wanasoma.
Msalimie sana Jirani na karibu kwa maswali mengine mkuu
Mkuu kweli umeutendea haki Uzi wako ila kuna mahala umeniacha hoi Mkuu....hasa kwenye Jibu lako la Pili.. Hujawahi kuwa na uhakika kama yule Dada wa Kahama ni Mzazi Mwenzio? Ina maani katika hiyo Idadi ya watoto wale machali wa Yule mama hawamo? Kingine mkuu kama ilikuwa lazima uoe au kuolewa ndiyo ukubali kuwa Yatima ili ufanikishe azimio Hilo? Naomba nichukuwe fursa hii tena kukushukuru sana kwa utulivu uliouonyesha katika kutendea haki comment yako ya 118 kuwa wewe upo Straight Forwad yaani wewe unasema ukweli ila kwa hilo la uyatima Mkuu hata Mbinguni Malaika wataka pembeni..Kwa kweli Jirani salamu zako zitafika tu na kama sikosei anakuulizia mara kwa Mara sijui umetingwa hakuoni pale mahala...... Hahahahaha