"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Hahaahaaa.....
Asante wana mkuu.
1. Nina watoto 5/wa mama tofauti
2. Sijawahi kuwa na uhakika kama yule dada wa kahama ni mzazi mwenzangu.
3. Hakuna mwanamke nilie wahi na sinto kaa niombe msamaha kwa matukio ya tofauti za kimahusiano zilizo tokea wakati nikiwa bado siaoa rasmi (kanisani).
Na mwisho wa siku ilikua ni lazima ifike wakati nioe mke mmoja tu mkuu.
4. Watoto wangu wote ninaishi nao, na wote wanasoma.
Msalimie sana Jirani na karibu kwa maswali mengine mkuu

Mkuu kweli umeutendea haki Uzi wako ila kuna mahala umeniacha hoi Mkuu....hasa kwenye Jibu lako la Pili.. Hujawahi kuwa na uhakika kama yule Dada wa Kahama ni Mzazi Mwenzio? Ina maani katika hiyo Idadi ya watoto wale machali wa Yule mama hawamo? Kingine mkuu kama ilikuwa lazima uoe au kuolewa ndiyo ukubali kuwa Yatima ili ufanikishe azimio Hilo? Naomba nichukuwe fursa hii tena kukushukuru sana kwa utulivu uliouonyesha katika kutendea haki comment yako ya 118 kuwa wewe upo Straight Forwad yaani wewe unasema ukweli ila kwa hilo la uyatima Mkuu hata Mbinguni Malaika wataka pembeni..Kwa kweli Jirani salamu zako zitafika tu na kama sikosei anakuulizia mara kwa Mara sijui umetingwa hakuoni pale mahala...... Hahahahaha
 
Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu mjumbe japo siungi mkono hoja ya kubadili avatar na kuacha masihara.

Avatar yako na masihara yako ndio ID yako. Ukibadilisha hautakuwa tena Ushimen labda ubadili na username.

Sometimes ni busara mtu kujibadilisha yeye ili aende sawa na wewe kuliko kutaka wewe ndio ubadilike uendane nae. Hiyo ni selfishness.
Dah..naunga mkonyo hoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Hahaahaaa.....
Asante wana mkuu.
1. Nina watoto 5/wa mama tofauti
2. Sijawahi kuwa na uhakika kama yule dada wa kahama ni mzazi mwenzangu.
3. Hakuna mwanamke nilie wahi na sinto kaa niombe msamaha kwa matukio ya tofauti za kimahusiano zilizo tokea wakati nikiwa bado siaoa rasmi (kanisani).
Na mwisho wa siku ilikua ni lazima ifike wakati nioe mke mmoja tu mkuu.
4. Watoto wangu wote ninaishi nao, na wote wanasoma.
Msalimie sana Jirani na karibu kwa maswali mengine mkuu
Dah....dadadeki....umetisha.... Safi sana..[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mkuu kweli umeutendea haki Uzi wako ila kuna mahala umeniacha hoi Mkuu....hasa kwenye Jibu lako la Pili.. Hujawahi kuwa na uhakika kama yule Dada wa Kahama ni Mzazi Mwenzio? Ina maani katika hiyo Idadi ya watoto wale machali wa Yule mama hawamo? Kingine mkuu kama ilikuwa lazima uoe au kuolewa ndiyo ukubali kuwa Yatima ili ufanikishe azimio Hilo? Naomba nichukuwe fursa hii tena kukushukuru sana kwa utulivu uliouonyesha katika kutendea haki comment yako ya 118 kuwa wewe upo Straight Forwad yaani wewe unasema ukweli ila kwa hilo la uyatima Mkuu hata Mbinguni Malaika wataka pembeni..Kwa kweli Jirani salamu zako zitafika tu na kama sikosei anakuulizia mara kwa Mara sijui umetingwa hakuoni pale mahala...... Hahahahaha
Kuhusu yule mama wa kahama, naomba nisimsemee kuhusiana na watoto alio wazaa. Na kwakufanya hivyo nitakua nimemkosea adabu ikiwa nitaanza kumuingiza kwenye huu uzi ambao haumuhusu.
Kwa kifupi yule mama niliwahi kuwa na mahusiano nae kabla sijaoa.
Kuhusu yatima pengine sijakuelewa vizuri swali lako, ebu tena naomba uliweke vizuri.
Na nikimalizia kuhusu pale kijiweni, nimekua mtoro kwasababu nilisafiri kwenda mkoani kwa familia, na tena sasa nipo mbeya kwaajili ya kazi flani kama nilivyo wahi kukugusia
 
Hahaahaaa.....
Karibu kwa maswali mkuu
Dah...kiukweli kabisa...kutoka moyoni....Sina swali lolote....ila nakupa pongezi....tano si mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah...kiukweli kabisa...kutoka moyoni....Sina swali lolote....ila nakupa pongezi....tano si mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
Ndiomaana nilikuaga siwasemi singo mamaz...tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kuhusu yule mama wa kahama, naomba nisimsemee kuhusiana na watoto alio wazaa. Na kwakufanya hivyo nitakua nimemkosea adabu ikiwa nitaanza kumuingiza kwenye huu uzi ambao haumuhusu.
Kwa kifupi yule mama niliwahi kuwa na mahusiano nae kabla sijaoa.
Kuhusu yatima pengine sijakuelewa vizuri swali lako, ebu tena naomba uliweke vizuri.
Na nikimalizia kuhusu pale kijiweni, nimekua mtoro kwasababu nilisafiri kwenda mkoani kwa familia, na tena sasa nipo mbeya kwaajili ya kazi flani kama nilivyo wahi kukugusia
Umeleweka Mkuu hongera sana nusu dozen uaswa huu siyo mchezo Kweli umetupa funzo wengine tunaoogopa kufyatua wewe umekuwa mfano mzuri... Sheherea Vizuri unastahili sana
 
Ndiomaana nilikuaga siwasemi singo mamaz...tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah... Sasa ndiyo nimekusoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Umeleweka Mkuu hongera sana nusu dozen uaswa huu siyo mchezo Kweli umetupa funzo wengine tunaoogopa kufyatua wewe umekuwa mfano mzuri... Sheherea Vizuri unastahili sana
Mkuu, waswahili tunasemaga tembo haelemewi na mkonga wake... tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
Nilikuwa kupitwa.
Huyo Dada ndiyo yule aliye pekee yake kwenye dunia yenye billions of people?

Mkuu heri ya siku ya kuzaliwa, ila mimi niwekee avatar ya zamani niwe naiona.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Naunga mkono hoja.

Pia kuna picha yake hivi jamaa kasimama shambani kavaa nguo fulani, japo siipendi ila nimeshaizoea asiiache.
 
1. Nitaweka picha badae kidogo
2. Sijui kwanini napenda sana maskhara, nadhani hivyo ndivyo Mungu aliniumba.
3. Dodoma fursa naziona nyingi sana za ujasiriamali. Na nikimuona ama kusikia kijana amekosa kitu cha kumuingizia walau 20 elfu wakati ana mtaji wa 500 elfu.... hakika ninamshangaa sana.
4. Mimi ni muumini wa kufanya kazi kwa bidii, na ninaamini yeyote anae fanya kazi kwa bidii lazima atapata faida.
Kwa vijana wanao maliza university na kukosa ajira, hao naweza nikasema kwamba wamekua na mawazo ya kuajiriwa kuliko kujiajiri. Na mwisho wa siku wanaogopa kukaanga mihogo kwasababu tu wanaona aibu kwamba ana degree.
5. Ningepewa nafasi ya kuwa Rais, hakika nisinge kubali kwasababu mimi sio mpenda siasa, sipendi uongo na nipo straight forward.
Umejibu vizuri kabisa
3.Kwa mtu asiye ijua dodoma kabisa...unamuelezeaje kuhusu fursa zilizopo?can you mention them????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom