Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana,hii ndio type ya wanaume wanawake wengi tunapenda...sio ubabe ubabe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaMie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
Kuna mmoja aliwahi kusema eti "ugali unanata kwenye mkono.Atakwambia ugali hauna chumvi naongeza kidogo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ugali na chumvi wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa
Mwanaume wa Dar!![emoji13][emoji13][emoji13]
Kuna mmoja aliwahi kusema eti "ugali unanata kwenye mkono.
Sasa mbaya zaidi akawa anautikisa na kuukung'uta mkono kana kwamba amechomwa na mwiba kama sio kushika haha kubwa...mbaf zake sana [emoji23][emoji23]
Lakini siku nikiutwika huwa hakuna rangi yenye anaachaga kuiona chini ya jua...[emoji23][emoji23][emoji23]
Diet [emoji1783]View attachment 1152703
SawaAfadhali unenisemea mkuu....
Hiyo ni nyama imeganda kwa barafu chiefHii ni nini?View attachment 1152697