Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Atakwambia ugali hauna chumvi naongeza kidogo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ugali na chumvi wapi na wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja aliwahi kusema eti "ugali unanata kwenye mkono.
Sasa mbaya zaidi akawa anautikisa na kuukung'uta mkono kana kwamba amechomwa na mwiba kama sio kushika haha kubwa...mbaf zake sana [emoji23][emoji23]
 
Hii ni nini?
tapatalk_1563035441164.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂😂ungempa uma na kisu Mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Back
Top Bottom