United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Ushamba wa soka unawasumbua plus kulazimisha Timu yao ionekane kubwa kwenye hii michuano wakati bado ni wachanga sanaPamoja na kusema Simba mbovu ila tupo nao Robo fainali,sasa ubovu uko wapi na ubora wao ni upi hasa?kwenye kundi lao anaongoza al ahly point 12, wao wana point 8, sisi wa pili kundi letu tuna point 9, na tuna magoli mengi ya kufunga,tumeruhusu mawili tu,wao wameruhusu 6, halafu mtu anakuambia Simba mbovu
Mi najua Simba huwa wakikutana na timu yoyote hawalalamiki,angalia Wydad, hata mashabiki wa mamelodi wanafurahi wydad kutolewa maana wanasema ni timu wanayoogopa kuliko Al Ahly,Simba hatulalamiki kukutana na timu yoyote, subiri draw,wakikutana na timu yoyote hapo hata Asec wanayosema ni mbovu wataanza kuisifia tena ni timu ngumuUshamba wa soka unawasumbua plus kulazimisha Timu yao ionekane kubwa kwenye hii michuano wakati bado ni wachanga sana
Kwenye kundi la Simba kuna mwarabu pia , simba ilivuna point 3 kwake ambaye ni bingwa mtetezi,lete kisingizio kingineSimba na Yanga wote walipata 3points.....but tatizo ni
Hizo points 3 mmezipata Kwa nani
Yanga Kwa mwarabu
Simba Kwa galaxy
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Al ahly ni level nyingine mzeeUshindi tuliofungwa 1-0 na al ahly
Waarabu hawana jambo dogo mzeeHivi timu za algeria kwenye michuano ya caf wametawala lini? Kombe lenyewe ndio kwanza wamelipata mwaka jana kwa kumkanda uto hapo kwa mkapa
Wote tunajua kua Wydad amedrop kiwango chakeKwenye kundi la Simba kuna mwarabu pia , simba ilivuna point 3 kwake ambaye ni bingwa mtetezi,lete kisingizio kingine
Wewe umepona sasa
Hata Al Ahly amedrop kiwango
Hata Al Ahly amedrop kiwango
Al ahly ni level ya juu mkuuHata Al Ahly amedrop kiwango
Klabu za algeria hazijawahi kusumbua afrika
Jamaa kakumbusha hapo "Al Ahly karibia akupige nje ndani" na huyo huyo katoa sare na Simba home and away.Tatizo Lenu watu wa Simba uwa amkubali ukweli na ndio maana mtaendelea kudumaa mpaka kiama, mnapambana kujilinganisha ubora wa timu yenu na yanga but kwa sasa current form yanga kawaacha mbali sana Yani msiwe vichwa vigumu wakati timu akuna pale!
Kwa nani zimekuwa 4points?Simba na Yanga wote walipata 3points.....but tatizo ni
Hizo points 3 mmezipata Kwa nani
Yanga Kwa mwarabu
Simba Kwa galaxy
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Inawezekana wewe ni mchanga kwenye football careerKlabu za algeria hazijawahi kusumbua afrika
Hakuna mkuu....ila kuua ni kuua ...japo wengine wanapiga bomb mochwari [emoji23]Kwa nani zimekuwa 4points?
Nadhani cha muhimu ni 3 points walizotaka wamepata. Hayo mengine ni ushabiki maandazi tu. Yanga tujikite kwenye matches zetu na mambo yetu. Walitaka 3 points wamepata. Jwanang jana walizidiwa walibadilishiwa mchezo. Walijidanganya sana before. Simba ilipania.Hakuna mkuu....ila kuua ni kuua ...japo wengine wanapiga bomb mochwari [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Una arguments kipuuzi sana,huwezi kuangalia jambo lazima uongee kishabiki,timu ikikutana na Yanga ni bora,ikikutana na Simba imeshuka kiwango,huu ndo upuuzi na sipendi kujadiliana na mtu wa aina hiiAl ahly ni level ya juu mkuu
Hata mwaka Jana Al ahly alivuka kibahati.....lakini ndiye aliyechuka ndoo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Upuuzi wa hao majamaa watakuambia kipindi hicho Al Ahly haikuwa na kiwango,sasa hivi wamekutana nayo ipo kwenye ubora,aisee hawa majamaa kujadiliana nao ni ngumu sanaMaumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani 🤣🤣🤣
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..
Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..
Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8
Haya twende kwenye magoli
Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9
Goal concede
Simba 2
Utopolo 6
Game lost
Simba 1
Utopolo 2
Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
View attachment 2922944
Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema View attachment 2922946
Muulize kwenye Ubora ila kashindwa kumfunga Nyumbani na Nje..Upuuzi wa hao majamaa watakuambia kipindi hicho Al Ahly haikuwa na kiwango,sasa hivi wamekutana nayo ipo kwenye ubora,aisee hawa majamaa kujadiliana nao ni ngumu sana