DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
SahihiNadhani cha muhimu ni 3 points walizotaka wamepata. Hayo mengine ni ushabiki maandazi tu. Yanga tujikite kwenye matches zetu na mambo yetu. Walitaka 3 points wamepata. Jwanang jana walizidiwa walibadilishiwa mchezo. Walijidanganya sana before. Simba ilipania.
Shida ni kuwa .... Yanga alikuwa kwenye group gumu kuliko makoloMaumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..
Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..
Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8
Haya twende kwenye magoli
Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9
Goal concede
Simba 2
Utopolo 6
Game lost
Simba 1
Utopolo 2
Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
View attachment 2922944
Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema View attachment 2922946
Huwezi kua fundi wa kuzungumzia mpira ....bila kuamini kuwa kwenye mpira....Kuna bahatiUna arguments kipuuzi sana,huwezi kuangalia jambo lazima uongee kishabiki,timu ikikutana na Yanga ni bora,ikikutana na Simba imeshuka kiwango,huu ndo upuuzi na sipendi kujadiliana na mtu wa aina hii
Hakukuwa na group jepesi wala gumu. Hizi teams zote zilikuwa teams washindi toka kwao. Hata Simba wanaweza sema kuifunga Bel 4 ni sababu ni team mbovu. Mimi nawakatilia. Mpira ni mipango. Hao hao Jwanang wameshawai ifunga Simba 3-1 hapaHuwezi kua fundi wa kuzungumzia mpira ....bila kuamini kuwa kwenye mpira....Kuna bahati
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Group gumu ambalo simba aliwahi kuwepo na akaongoza ligi sioShida ni kuwa .... Yanga alikuwa kwenye group gumu kuliko makolo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kama mwaka jana kufika fainali ya shirikisho,ndo bahati nyenyeweHuwezi kua fundi wa kuzungumzia mpira ....bila kuamini kuwa kwenye mpira....Kuna bahati
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwani Lanks za CAF zipoje kati yao,lakini msimu uliopita kuna mmojaJamaa kakumbusha hapo "Al Ahly karibia akupige nje ndani" na huyo huyo katoa sare na Simba home and away.
CRB mwaka 2001 walipigwa na Asec Memosa 7- 0Simba mmei underrate sana, kwamba ikishinda ujue hyo timu mbovu. Hao CRB ni wabovu sana hata Algeria waliwafunga kwasababu Diarra hakuwepo. Al ahly alivyodroo na Simba Home/Away mkasema ahly wabovu mmekutana nao ilibaki kidogo tu mpigwe nje-ndani.
Wewe unajidharau na unatukuza uarabu ndo maana unaona thamani kufunga ngozi nyeupe, nu utumwa tuu huo.Salaam Wakuu,
Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.
Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.
Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?
View attachment 2922802
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana eti "Lanks"!Kwani Lanks za CAF zipoje kati yao,lakini msimu uliopita kuna mmoja
Alitilewa nusu.
Taja timu ya algeria iliyowahi kuchukua kombe lolote la afrika kabla hawajambandua yanga kwenye shirikisho msimu uliopitaInawezekana wewe ni mchanga kwenye football career
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Duuuuh huamini kwenye bahatiHakukuwa na group jepesi wala gumu. Hizi teams zote zilikuwa teams washindi toka kwao. Hata Simba wanaweza sema kuifunga Bel 4 ni sababu ni team mbovu. Mimi nawakatilia. Mpira ni mipango. Hao hao Jwanang wameshawai ifunga Simba 3-1 hapa
Mgumu Kwa Simba alikuwa Al ahly tuGroup gumu ambalo simba aliwahi kuwepo na akaongoza ligi sio
Hapana Ile ilikuwa mipango..... that's y Yanga wameendeleza moto ule uleKama mwaka jana kufika fainali ya shirikisho,ndo bahati nyenyewe
Lakini hii haipaswi kua tushindwe kusema ukweliWewe unajidharau na unatukuza uarabu ndo maana unaona thamani kufunga ngozi nyeupe, nu utumwa tuu huo.
Unakua umekula nini?Salaam Wakuu,
Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.
Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.
Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?
View attachment 2922802
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Aint nothing like that
Tujilinganishe na timu tuliyo ipiga bao tano?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanga ndo mnajilinganisha na simba, sisi tulisha waacha huko toka zamani sanaaa.