Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Ushindi dhidi ya Waarabu na Ushindi kwa Galaxy upi una thamani kubwa?

Sasa MTU naomba anionyeshe Comments ya CAF kuhusu Timu yake kama hiii
Screenshot_20240303_125927_X.jpg
 
Nadhani cha muhimu ni 3 points walizotaka wamepata. Hayo mengine ni ushabiki maandazi tu. Yanga tujikite kwenye matches zetu na mambo yetu. Walitaka 3 points wamepata. Jwanang jana walizidiwa walibadilishiwa mchezo. Walijidanganya sana before. Simba ilipania.
Sahihi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Maumivu yanakupata Ukiwa Wapi na Mkoa Gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niweke Record Sawa Kidogo..

Mpaka kumaliza MAKUNDI HAYA NDYO MATKEO..

Simba Ana Point 9
Utopolo Mna point 8

Haya twende kwenye magoli

Simba magoli 9
Utopolo mna magoli 9

Goal concede

Simba 2

Utopolo 6

Game lost

Simba 1

Utopolo 2

Na kuhusu Kuifunga Simba goal Tano sisi Tumewachapa sana hizo kwahyo kwetu ni kawaida
View attachment 2922944

Na kuhusu Kumaliza huku Tunaongoza kundi tumeshafanya sana hilo swala mbele al ahly..
Mbona mnasahau sana Mapema View attachment 2922946
Shida ni kuwa .... Yanga alikuwa kwenye group gumu kuliko makolo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Una arguments kipuuzi sana,huwezi kuangalia jambo lazima uongee kishabiki,timu ikikutana na Yanga ni bora,ikikutana na Simba imeshuka kiwango,huu ndo upuuzi na sipendi kujadiliana na mtu wa aina hii
Huwezi kua fundi wa kuzungumzia mpira ....bila kuamini kuwa kwenye mpira....Kuna bahati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kua fundi wa kuzungumzia mpira ....bila kuamini kuwa kwenye mpira....Kuna bahati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hakukuwa na group jepesi wala gumu. Hizi teams zote zilikuwa teams washindi toka kwao. Hata Simba wanaweza sema kuifunga Bel 4 ni sababu ni team mbovu. Mimi nawakatilia. Mpira ni mipango. Hao hao Jwanang wameshawai ifunga Simba 3-1 hapa
 
Jamaa kakumbusha hapo "Al Ahly karibia akupige nje ndani" na huyo huyo katoa sare na Simba home and away.
Kwani Lanks za CAF zipoje kati yao,lakini msimu uliopita kuna mmoja
Alitilewa nusu.
 
Simba mmei underrate sana, kwamba ikishinda ujue hyo timu mbovu. Hao CRB ni wabovu sana hata Algeria waliwafunga kwasababu Diarra hakuwepo. Al ahly alivyodroo na Simba Home/Away mkasema ahly wabovu mmekutana nao ilibaki kidogo tu mpigwe nje-ndani.
CRB mwaka 2001 walipigwa na Asec Memosa 7- 0

Asec 7- 0 Belouzidad, pia league ya Algeria siyo nzuri hata kidogo, Algeria hawana klabu ya maana kama ilivyo Egypt, Morroco, Tunisia, Algeria ni kama Libya kwa upande wa vilabu. Watu wanachanganya kuona timu ya taifa inafanya vizuri, wenye wachezaji wa timu ya taifa 6a Algeria ni foreigners waliozaliwa Upya na kulia Ulaya ila wana asili ya Algeria
 
Salaam Wakuu,

Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.

Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.

Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?

View attachment 2922802

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe unajidharau na unatukuza uarabu ndo maana unaona thamani kufunga ngozi nyeupe, nu utumwa tuu huo.
 
Hakukuwa na group jepesi wala gumu. Hizi teams zote zilikuwa teams washindi toka kwao. Hata Simba wanaweza sema kuifunga Bel 4 ni sababu ni team mbovu. Mimi nawakatilia. Mpira ni mipango. Hao hao Jwanang wameshawai ifunga Simba 3-1 hapa
Duuuuh huamini kwenye bahati

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Tukiwa tunaendelea kusherekea tukio la Simba kuingia robo fainali kwa mbinde (kikanuni) baada ya kulingana points na Wydad.

Kimahesabu, Simba juzi mechi dhidi ya timu dhaifu TRA kwenye Azam confederation cup walishinda 6-0. na Kwa galaxy Simba wameshinda 6-0, ila Kwa Yanga Simba alikandwa 5-1. Hapa uki cross multiplication utagundua TRA Simba na Galaxy ni timu za daraja moja (very poor) kwa Yanga.

Je, ushindi wa Yanga dhidi ya Mwarabu (CR Belouzidad) wa 4- 0 na ushindi wa Simba vs Mwafrika (Jwaneng Galaxy) wa 6-0 ni ushindi upi una thamani (value) kubwa?

View attachment 2922802

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unakua umekula nini?
 
Kwa vitambi hivi unategemea kuna timu pale?
Hawa ni wastaafu wa TRA.
FB_IMG_1709471930317.jpg
 
Back
Top Bottom