YAAANI KWA AKILI HZI BORA MZEEE WAKO ANGEPIGA MASTERBUTION TUUUU.SHULENI ULISOME UJINGA CC FAIZA FOX!
!
Watu Hawachagui Raisi Kwenye Uchaguzi Huu. Unapotaja Reli Sijui Ndege Elimu Bure Na Ushuzi Mwingine Kama Huo Ni Mwenyekiti Gani Wa Mtaa Ataweza Kununua Kwa Ajili Ya Mtaa Wake?
Kuna Wasomi Wengine Hovyo Sana Aisee
Mkuu Freema Agyeman, hii hoja yangu sio hoja ya kiimani kuhitaji kuamini au kutoamini, as if hili ni jambo la kiimani, la kufikirika tuu, kusema JPM hawezi kuzuia upinzani kushiriki siasa kwa sababu ni kinyume cha sheria ya vyama vingi, hivyo unakiri ni watendaji wake ndio wanaominya demokrasia hivyo yeye ndie awakemee?!. Please usitake tufungue the pandora box la demokrasia yetu, its a like a can of worms, ukiisha open, you can control, kwa kuanzia tuu katiba ndio iliyoruhusu mikutano ya kisiasa, unamjua aliyezuia ni nani?, kwa sheria ipi?, kwa mamlaka gani?. Kwa taarifa tuu, JPM anaweza kufanya kila kitu!, akiamua kuruhusu huu nchezo wa siasa uchezwe fair, anaweza. Sisi sio mafarisayo tunganganie taratibu, sheria na kanuni.Pascal Mayalla siamini katika hoja yako. JPM hawezi kuzuia upinzani kushiriki siasa kwani atakua kinyume na sheria ya vyama vingi.
Anachotakiwa kufanya ni kutoa kauli kwa watendaji wake wanaominya demokrasia.
By the way, upinzani ni imara kiasi gani?
Hypocrite...?, No!. He is the biggest realist and truthfulness president we have ever had since Nyerere. JPM ni mkweli daima, hamungunyi wala hapepesi.Magu is the biggest hypocrite
Mkuu TUJITEGEMEE, kwanza naomba kukiri, hoja yako ni very valid, mimi nikiwa miongoni mwa washabiki wa kufuatwa kwa katiba, sheria, taratibu na kanuni, lakini kwa vile kuna mambo makubwa katiba imekiukwa na tumeyakubali, then kukiuka sheria, taratibu na kanuni katika kutoa haki ni jambo jema.Hapa ndiposa mnishangazapo baadhi watanzania. Mwasema tufuate katiba na taratibu tulizojiwekea ili kujenga mfumo imara wa kuheshimu katiba na sheria, wakati huo huo mnashauri Rais avuruge ufuataji wa sheria na katiba katika suala ambalo linatoa nafasi kubwa kwa watanzania kujua umuhimu kufuata katiba, sheria na taratibu nyingine tulizojiwekea. Mna malengo gani enyi baadhi ya watanzania!?
Mkuu, Paskali, ni lini hasa unataka uione Tanzania inaanza kufuata taratibu, sheria na katiba kwa kumaanisha hasa kama siyo wakati wa awamu hii ya tano!?🙂🙂🙂
Nakubaliana nawewe 1000%, Nashangaa kumsikia Lipumba akisema Rais Magufuli aingilie uchaguzi wa serikali za mitaa.Mkuu Freema Agyeman, hii hoja yangu sio hoja ya kiimani kuhitaji kuamini au kutoamini, as if hili ni jambo la kiimani, la kufikirika tuu, kusema JPM hawezi kuzuia upinzani kushiriki siasa kwa sababu ni kinyume cha sheria ya vyama vingi, hivyo unakiri ni watendaji wake ndio wanaominya demokrasia hivyo yeye ndie awakemee?!. Please usitake tufungue the pandora box la demokrasia yetu, its a like a can of worms, ukiisha open, you can control, kwa kuanzia tuu katiba ndio iliyoruhusu mikutano ya kisiasa, unamjua aliyezuia ni nani?, kwa sheria ipi?, kwa mamlaka gani?. Kwa taarifa tuu, JPM anaweza kufanya kila kitu!, akiamua kuruhusu huu nchezo wa siasa uchezwe fair, anaweza. Sisi sio mafarisayo tunganganie taratibu, sheria na kanuni.
P.
Hivi sura ya mtu ina uhusiano na akili zake?Mambo mengi ya Nchi kwa sasa yame kuwa yakiendeshwa kwa Hisani ya Mtu mmoja ,Katiba tuliyo Apa kuilinda ipo likizo hasa kwa Dhana uliyo igusia ktk bandiko lako kwa namna ulivyo muomba Mh Mtukufu sana wa Nchi.
Na hizi ndio fikra za Watawala walio Madarakani ,ktk kuwaletea Wananchi wao Maendeleo。
View attachment 1259103
Huyu bwana ni mzuri wa kutengeneza tatizo na kulitatua ili apate umaarufu zaidi. Sitashangaa nikisika Dr Abasi akisema “Mheshimiwa rais Dk John Pombe Magufuli amewasamehe wote waliojaza fomu kimakosa”.
Yani ccm wangesoma case study ya Gsddafi،aliwafanyia Kila kitu ila aliwaminya katika Uhuru wao. Kwaio yote mazuri hayakuonekana na wakamuua.
Sasa reli, madaraja, mabarabara hayataonekana ktk hizi figisu.
Kuna tetesi za ugonjwa badala ya kusikitika watu walifurahi hio ilokua indicator mbaya. Hatujifunzi. Owky hakuna marefu yasio na mwisho
Mkuu Zawadin, kama sababu za kujitoa ni kitendo cha wagombea wao kukatwa, sasa wagombea wote wamerudishwa, kwanini waendelee kujitoa?.Nilisema "too late" CHADEMA walipojitoa na nasema leo "too late" kumshauri Rais aruhusu wagombea waloenguliwa. Kwa CHADEMA ilikuwa too late kwa sababu baadhi ya wagombea walishapitishwa na hivyo kwenye karatasi ya kupigia kura watakuwemo na hii ndo mbinu ya chama tawala. Ni too late kwa Rais kwa sababu vyama vimeshatangaza kususia uchaguzi. Maji yakishamwagika hayazoleki. Kwa haya mengine naunga mkono hoja.
Mkuu Mkwaha, kugombea ni kwa hiyari mbili,Ni Kweli Sheria Zimewekwa Ili Zifuatwe Ila Ajabu Ni Kwamba Vyama vya Chadema na A.c.t Wametangaza Kujitoa Kwenye Huo Uchaguzi, Ila Bado Waziri Wa Tamisemi Analazimisha kubandika Majina Ya Wagombea Ambao Vyama Vyo Vimejitoa Kwenye Huo Uchaguzi.
Swali:
Ikiwa Chama Kimejitoa kwenye Uchaguzi, Hao Wagombea Ambao Bwana Jaffo Anadai Bado Majina Yao Yatakuwepo Kwenye Karatasi Ya Kupigia Kura Bila Kujari Kama Vyama Vyao Vimejitoa Watasimama Kama Wagombea Wa Chama Gani?.
Au Siku Hizi Tanzania Tuna Wagombea Binafsi?.
Mkuu Upendo daima, asante kwa kunielewa kwa sababu kiukweli kabisa wanaonielewaga humu jf ni wachache, only those wenye uwezo to read in between the lines.'Kutokana na kasi ya rais Magufuli kutuletea maendeleo ya vitu vya kuonekanika, Midege, Reli ya SGR, Mabarabara nchi nzima, madaraja ya Juu kwa Juu, Mradi wa umeme wa Stigler , Tanzania ya Viwanda, Elimu Bure, Vituo vya Afya kila kuna, etc, etc, just to mention but few, vinaipa CCM fursa ya ushindi wa kishindo cha wazi kabisa katika uchaguzi wowote nchini Tanzania kati ya sasa hadi 2025, hivyo mamlaka zinazosimamia uchaguzi huu, waruhusuni wagombea wote waliopitishwa na vyama vyao wapite tuu bila kujalisha kama wanekidhi sifa na vigezo, ili tuu kuruhusu ushindani wa haki, ushindani wa uwazi na mshindi apatikane kihalali katika uchaguzi huru na wa haki'.
Nimekuelewa vizuri mkuu Pascal Mayalla
Thesis yake iko kwenye maktaba gani? Pale UDSM haipoUzalendo halisi na wa ni kuzungumza kwa kutumia lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Sababu za kutosafiri nje ni uzalendo uliotukuka wa kubana matumizi, na sio issue za lugha, kama ni lugha ya Malikia, inapanda sana, ameitumia hadi kwenye Ph.D thesis yake.
P
Mkuu Kimeloki, mimi kama mwandishi mwandamizi, nafahamu jinsi Mkuu alivyo msikivu na anavyo change for the betterPaskali wewe kama mwandishi mwandamizi nlidhani unafahamu kuwa mkuu hapendi ushindani na hawezi kuruhusu hilo jambo litokee hata kidogo
Mkuu Pascal , nitawashangaa sana Wapinzani wakikubali kurudi kwenye uchaguzi.Habari njema zimeanza, Waziri katangaza wagombea wote walioenguliwa kwa kujaza fomu vibaya warudishwe.
Huu sio mwanzo mbaya, sasa tunawasubiri Mbowe na Zitto kutangaza kuruhusu timu zao kuingia dimbani.
P
Mkuu Sweet Tablet, asante sana kwa objectivity yako kwenye hili. Issue ya kufuatwa kwa sheria, taratibu na kanuni katika ujazwaji fomu ni jambo la muhimu sana, Tanzania sasa tuna e-government more than 10 years now, fomu zote ziwe zinajazwa online, kama kuna kosa lolote linakuwa detected na submission haiwezi ku go through hadi kila kitu kikamilike kama online applications.Mkuu kuna mambo mawili. Mosi, muda wa kujitoa. Je, walijitoa kwa wakati? Pili, mgombea kama mgombea amewasilisha barua ya kujitoa? Kama hajawasilisha barua hiyo, unamuondoaje? Kumbuka kuna kanuni na taratibu za kufuata kuhusu hili. Na hili mkuu ndilo wanalokosea Chadema. Wanafikiri kila kinafanyika tu (atavism).