Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

w
wanakuaje na vigezo? ikiwa kwanza wamekosea kuja fomu.. pili hawana chama? je? wagombea binfsi wameanza kuruhusiwa tz? ama kweli siku ya kutembea uchi ndio hiyo hiyo utakutana na mkweo .fedhea kubwa hii
protox unajenga hoja za kupinga jambo ambalo hata hulijui.
 
Wenye pupa ni wale waliokimbilia kusema wamejitoa bila kupima consequences za baadae.
leo tumeamka na habari mpya ...waziri kasema walioenguliwa waludishwe ..ndio maana nikasema lisemwalo lipo kama alipo laja. pupa ni jambo la kua na halaka sio tusi. umeona?
 
protox unajenga hoja za kupinga jambo ambalo hata hulijui.
chama hapa tz kina nguvu kuliko mgombea kabla na baada ya kuchaguliwa... chama kikikupokonya kadi yako ya uwanachama wewe unapoteza moja kwa moja nafasi uliyonayo kupitia chama... hata magufuri akipokonywa kadi na kuambiwa sio mwanachama anakua sio rais .... sembuse m/kiti wa mtaa?? ataivyo unaweza kutoa maoni yako
 
Haya mambo huyajui ndugu yangu. Lakini endelea kuhisi unayajua. Ila ukitaka kuyajua, uliza kwa wajuzi.
 
Wwkoloni walijenga sana hayo mareli, mashule, mahospital no lakini bado iliwarazimu kuondoka, magufuri hajafanya hata robo ya wakoloni hivyo ache ubabe na uoga
 
Pascal Mayalla,
Nakubaliana na hoja yako ya kuwaombea wagombee hata kama wamekosea. Na wamesamehewa. Ila tuwashauri wajenge taasisi iliyo na network imara ya utendaji. Sio kila mara will depend on mercy.
umeelewa sasa maana yangu?? sikua na maana mbaya ya kukushauli kua na subra kipindi hiki ni bora sana kuliko muda wowote uliopita.... (lisemwalo lipo kama halipo laja)... wamesamehewa kwisha .. sasa tuone swali lako je? chama chao kita watambua? wakishinda? ...na mimi nimekukumbusha najua unajua kua chama ni kikubwa kuliko mtu... kikiamua kinamfukuza alieenda kinyume na maamuzi ya chama ..bado hujanielewa? SWEETT??
 
Sijasema hakuna walichofanya bali Magufuli in just four years, did more than all they did put together in 30 years.
P
Muda ambao hao wengine walikuwa wakiutumia angani wakiitafuta New York au Tokyo Ngosha anautumia humu humu ndani katika kushughulika na madalali wa korosho na wapigaji wengine wa kila aina.
 
Mafisadi na ndg zao ndio wanamuombea mabaya Rais, watu sahihi tunampenda na tunamuombea afya njema aendelee kuwaendesha
 
Hapa ndipo awamu ya 5 ilipotufikisha. Mwandishi Nguli kama P. anaita figusu wakati kilichotokea ni uchochezi, unyama, kuhujumu uchumi au uhaini. Imagine P. anabeza upinzani kwa kufananisha na mtoto mdogo anaehitaji kuonewa huruma au kupendelewa/ achiwa ili ajione ameshinda wakati hana uwezo. Lakini hapo hapo anaongelea haki na usawa sijui kama mtoto anapoachiwa ashinde haki na usawa vinakuwepo. Swali la kujiulizayanayotokea mwandishi hayaoni? Je, ni kweli upinzani Tz unahitaji favor? Je kunatofauti kati ya alichokisema polepole, naibu waziri, na waziri mwenye dhamana juu ya sakata hili na anachomaanisha P ambaye anajinazibu hana chama!!

CCM sio wajinga na wanajua upinzani Tz hauhitaji kuonewa huruma au upendeleo ndiyo maana wamefanya unyama mpaka unyama wa kupitiliza 96% wagombea was upinzani wakaenfuliwa. Tz nzima hata machoni kwa mataifa inajulikana wanachama wa CCM ni vilaza kuliko upinzani sasa iweje wagombea wote wa CCM wajaze fomu vizuri afu wa upinzani wakosee kwa 96%?? Haiingii akili labda kwa kujitoa ufahamu!
 
Nasikia eti Idi Amini nae alinunua ndege nyingi sana za kiraia na za kijeshi na alijenga sana barabara!!!!!
 
Sijasema hakuna walichofanya bali Magufuli in just four years, did more than all they did put together in 30 years.
P
Nadhani sio kweli. Elimu bure isingewezekana kama kusingekuwepo hizo shule kila kata. Nasikia hata hiyo eapoti kaikuta ishajengwa kwa asilimia karibu themanini
 
No sio kila kitu ni Magufuli, kujaza fomu wakosee wengine, lakini lawama ziende kwa rais Magufuli!.
Hata hivyo hoja yako imepita, Waziri Jafo katangaza msamaha kwa wote waliojaza fomu kimakosa, warudishwe.
P
Mimi mnapikuwa wanafiki mnaniudhi kupita maelezo. Hivi ni kweli Pasco unaamini wagombea wote wa upinzani waliokatwa walikosea kujaza fomu isipokuwa wa CCM? Tuko huku mashambani na tunajua CCM wa huku walijazia wapi fomu zao, huo uzushi kwamba kulikuwa na wanasheria wanawasaidia kujaza mbona huku Mafinga vijijini hatukuwaona hao wanasheria.? Aliyebuni mbinu hii ya kifashisti ni Polepole mtafuta sifa bila jasho lakini imebuma mnajifanya kutetea dhuluma.
 
Wewe huitakii mema CCM, yaani unadiriki kuwashauri wafanye fair kwenye chaguzi? Wewe ni nani kama Polepole mwenyewe alishawahi kukiri kuwa kama uchaguzi ukiwa ni wa huru na haki basi CCM ijiandae kukabidhi madaraka? CCM wenyewe wanajijua kuwa hawapendwi tena ndio maana kila sehemu wanatumia ubabe!
 
Great
 
Tanzania ni nchi ya kidemokrasia, tukiacha mihimili ya kidemokrasia (Pillars of Democracy) ifanye kazi yake, hatutoweza kupata malamiko kutoka upande wowote juu ya kutokutendewa haki. Sababu wapiga kura watachagua na kupata wawakilishi wanaowapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…