Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Huyu bwana ni mzuri wa kutengeneza tatizo na kulitatua ili apate umaarufu zaidi. Sitashangaa nikisika Dr Abasi akisema “Mheshimiwa rais Dk John Pombe Magufuli amewasamehe wote waliojaza fomu kimakosa”.
Kama wana vigezo vyote majina yao yatabandikwa. Ni utaratibu na kanuni za uchaguzi. Wao hawafuati porojo za vyama kujitoa ingawaje wenye majina yatakayobandikwa wana hiari ya kufanya kampeni au la. Kimbembe kitakuwa endapo watashinda, Chadema itawatambua? Itawafukuza? Tunasubiria!Ku dili na mawe ni shida sana, ni kwanini Jafo amesema majina yatabandikwa hata kama vyama vimejitoa?
CCM kutokuwa madarakani si kifo chake Bali utakuwa muda mzuri wa kukiimarisha chama. Chama tawala kikikaa madarakani muda mrefu kinapoteza dira na kufanya kazi kwa mazoea.Je rais akifanya hivyo atakuwa katimiza wajibu wa sheria ya Uchaguzi?....kwa kifupi na kiungwana Pascal anajaribu kuzungumzia uwepo wa Tume huru na Katiba mpya kitu ambacho hakuna Rais mstaafu au aliyeko madarakani anayetaka CCM imfie mikononi mwake pascal
Umeongea nini? Mbona pumba tupu? Si ungewapa kuku?Chutama ndugu, haujioni MTUPU ulivyo wima?
Duu kumbe pumba zina majibu.Umeongea nini? Mbona pumba tupu? Si ungewapa kuku?
Wape kuku mkuu hizo pumba zako. Hapa tunajenga hoja.Duu kumbe pumba zina majibu.
Ndio vizuri turudi mfumo wa chama kimoja ili nchi iwe dona country.Wanasamehewa vipi ilhali wamejitoa? Kama mlizira kwa kumdeshi jiwe imekula kwenu. Subirini 2024
Itafikia tu. Wacha tuondoe vikwazo kwanza.ndio vizuri turudi mfumo wa chama kimoja ili nchi iwe dona country
Hapa ndiposa mnishangazapo baadhi watanzania. Mwasema tufuate katiba na taratibu tulizojiwekea ili kujenga mfumo imara wa kuheshimu katiba na sheria, wakati huo huo mnashauri Rais avuruge ufuataji wa sheria na katiba katika suala ambalo linatoa nafasi kubwa kwa watanzania kujua umuhimu kufuata katiba, sheria na taratibu nyingine tulizojiwekea. Mna malengo gani enyi baadhi ya watanzania!?Sitaki kuingia ndani kwenye technicalities zilizopelekea wagombea wa upinzani kuenguliwa, bali natoa wito kwa rais Magufuli aingilie kati hali hii au yeye mwenyewe kama rais wa JMT, au kupitia kwa Waziri Jaffo wa Tamisemi, ayafute makosa yote ya wagombea wote wa vyama vyote walioenguliwa kwa sababu zozote, ziwe ni za kweli za halali.
Ndege zinatumiwa na only 0.8 ya Watanzania.Nchi inahitaji maendeleo ya watu ...tumejichelewesha sana kusaka kiki za demokrasia kwani ndio upuuz waliotaka tuufikirie.
Swali zuri sana! Unasema unajenga reli nzuri, meli, ndege safi, flyover, umeme rufiji nk na kuhisi unapendeka sana. Lakini anajitokeza "mwehu" mmoja anaanzisha uzushi kuwa u mgonjwa taabani au umetangulia mbele ya haki na hao uliodhani wanakupenda wanageuka washangiliaji au wanatabasamu kwa habari hizo bado utaendelea kusema hayo uliyofanya ndio mahitaji ya wananchi wako? Huwezi kubaki na fikra hizo kama unatumia akili.Yani ccm wangesoma case study ya Gsddafi،aliwafanyia Kila kitu ila aliwaminya katika Uhuru wao. Kwaio yote mazuri hayakuonekana na wakamuua.
Sasa reli, madaraja, mabarabara hayataonekana ktk hizi figisu.
Kuna tetesi za ugonjwa badala ya kusikitika watu walifurahi hio ilokua indicator mbaya. Hatujifunzi. Owky hakuna marefu yasio na mwisho
Kweli umesusa kikweli kweli! Ha ha ha haaa!Ili kuokoa rasiliamali za wananchi, Waziri atangaze matokeo yoyote anayojua!