Bora umemwambia wazi. Pascal ni mhuni wa kisiasa, ni mwandishi mtafuta fursa wa kiwango cha juu. Anaandika kwa kulembalemba ili aonekane mwema kwa kaka yake. Ni eneo gani nchini ambako CCM yake haijatoa maelekezo kwa watendaji kukata majina ya Wapinzani? Leo anajifanya mwema anauma na kupuliza? Aache unafiki, kama ni mkweli auseme ukweli wote na siyo mafumbo na kujitafutia sifa binafsi.Tushakujua kuwa wewe ni ccm maana kipindi majina yamekatwa hukuongea chochote sasa umesikia tamko la jafo unajifanya kushauri
Bunge letu pia lingekuwa na watu wenye akili na waledi na wanaojari maslahi ya nchi yetu hiki kitu kilitakiwa kiwe kimefanywa hapa Tanzania maana mbele ya katiba yetu magufuli ameshapoteza uhalali wa yeye kuendelea kuwa raisZiliwekwa taratibu ili zifuatwe. Ukishindwa kiziguata, unaondolewa tu. Hata Bunge la Congress la Marekani sasa liko kwenye mchakato wa kutaka kimuondoa Rais Trump madarakani kwasababu amekiuka utaratibu. Simple!
Magufuli is incompetent individual, He is PhD holder still hawezi kuelewa anaitwa rais kwa sababu wananchi wa Tanzania wametoa cheo hicho kupitia katiba ya JMT na wananchi hao hao na kupitia katiba hiyo hiyo wameruhusu mawazo shindani ili kuchochea maendeleo yao.kwa lugha nyingine rais na wapinzani wote ni watoto wa baba na mama mmoja yaani Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ila mtu anayejiita PhD ameshindwa kuelewa jambo dogo kiasi hiki.Namshangaa Magufuli kwa kuua Demokrasia. Ila Magufuli si anachapa kazi ? Sasa kwa nini anaogopa wapinzani ? Jamani wao pia ni watanzania. Hebu ajiweke kwenye viatu vya ATC,CHADEMA n.k.Halafu CCM ifanyiwe kama anavyowafanyia.
Kwa kweli simuelewi anachokiogopa ilhali anachapa kazi.
Mkuu Mkwaha kama wewe ni mgumu wa kuelewa sio kosa langu. Nimejieleza vizuri. Lakini utofauti wa mawazo unakubalika hasa katika nchi yetu ya kidemokrasia Mama Tanzania.Unajua Maana Ya Udhamini?.
Kwanini (Mfano) Mbunge au Diwani Akifutiwa Uwanachama Na Chama Chake Ana Kosa Sifa Ya Kuwa Na Hicho Cheo?.
Samahani Mkuu Tindo siwezi kuzungumzia hisia.Uko sahihi, je hizo kanuni ni pamoja na wasimamizi wa uchaguzi kukimbia ofisi na hujuma za wazi dhidi ya wapinzani kwenye mchakato mzima?
Kweli. Ila hao wachache wachache waliobaki na wamekidhi watapitishwa. Ila nawashauri wasijihusishe na michakato yote ya kampeni ili kuheshimu maamuzi ya vyama vyao ya kujitoa. So unakumbuka hata CUF enzi za Maalim ilikuwa hivyo na zikapigwa KURA ZA MARUHANI?Hawana vigezo, ndio maana hawakupitishwa mwanzo kabisa.
Hata sasa hakuna maendeleo ya watu yanayofanywa. Tumeshindwa kuboresha elimu; Maabara za vyuo vikuu zimebaki magofu; Vyuo vikuu bado wanafundisha titration ya acid na base, sakiti sambamba na mfuatano; halafu tunasema Kuna maendeleo ya watu? Tunajengewa reli na waturuki halafu tunataka maendeleo ya watu? Ni aailimia ngapi ya bajeti huenda kwenye utafiti nchi hii?Nchi inahitaji maendeleo ya watu ...tumejichelewesha sana kusaka kiki za demokrasia kwani ndio upuuz waliotaka tuufikirie.
Tatizo ni nani wa kulianzisha na kwa kipengele gani. Marekani wamelianzisha wapinzani wa Democrat.Bunge letu pia lingekuwa na watu wenye akili na waledi na wanaojari maslahi ya nchi yetu hiki kitu kilitakiwa kiwe kimefanywa hapa Tanzania maana mbele ya katiba yetu magufuli ameshapoteza uhalali wa yeye kuendelea kuwa rais
Sina hakika kama unafikiria vizuri mpagilio wa hoja zako hata kama una mapungufu ya kukosa staha katika uwasilishaji wa hoja.Huwezi kuendesha nchi wala kuhudumia taifa lako kwa kutegemea hela ya kubana matumizi ya mafuta, hizo ni fikra za kifukara kabisa na za kibwege.
Nimekuuliza hayo maswali makusudi tu ili kupima uelewa wako kwenye suala mzima la sheria za uchaguzi. ila kwa nilichojibiwa moja kwa moja Inaonyesha ndugu yangu Umekunywa maji ya bendera ya kijani na njano.Mkuu Mkwaha kama wewe ni mgumu wa kuelewa sio kosa langu. Nimejieleza vizuri. Lakini utofauti wa mawazo unakubalika hasa katika nchi yetu ya kidemokrasia Mama Tanzania.