[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushindi wa mwaka huu kwa CCM utakuwa mzuri sana!
Tukumbuke bado suku 14 tu ili Amsterdam ajiandae kumpokea baby wake akiwa analia.
Tukisema unaamini ushirikina utakataa muda wote mnatamani Rais apate Maradhi kwanini amuongelee Lissu kuwa ni kiwete?Cheki magoti alivoyapiga..maradhi haya eeh Mungu tuepushe.
Kama faza wako?Tukisema unaamini ushirikina utakaa muda wote mnatamani Rais apate Maradhi kwann hamuongelee Lissu kuwa ni kiwete?
Hivi Lissu ni kichaa anaendelea kuwatukana akina Magembe wamemmkosea nini Lissu hashindi!!!Kuwa na huruma kijana...mhurumie hata huyu mtoto mdogo aliyebaki akishangaa asiweze kuamini anachokishuhudia kikitendeka
mbele ya macho yake
Ilinganishe hiyo hali hapo juu na hii hapa chini...!
Yaani mkombozi kama huyu ashindwe kwenye sanduku la kura...! Sema tu mtaiba kama ilivyo kawaida ya chama cha mafisadi, CCM!
Tume inamatokeo tayariLabda ashinde njaa
Amewahi shinda nini maishani Hadi ashindeUkisema ushindi tu,ni kama unapoteza radha flani ya ushindi,bali
Huu ni Ushindi wa Kishindo.
Mbowe alikuwa CCM bwashee enzi za akina Kalikali!Mbowe amewahi kuwa UVCCM? mbona aligombea 2005
Sina hakika, kuna siku nilimsikia akisema hajawahi kuwa CCMMbowe alikuwa CCM bwashee enzi za akina Kalikali!
Tulikuwa naye UVCCM na akina Guninita, Sukwa Hading'oka, Manara nkSina hakika, kuna siku nilimsikia akisema hajawahi kuwa CCM
Kumbe na wewe ni mtu mzima lakini matendo yako mbona ni ya hovyo sasa mkuu?Tulikuwa naye Uvccm na akina Guninita, Sukwa Hading'oka, Manara nk
Huyu Tundu Lisu nadhani aliishiaga chipukizi ndio maana ni mtata!
Kabisa! Consequences za huyo baby kumdanganya beberu wake kwamba atashinda urais lazima ziwepo!There will be consequences