Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

Ushindi wa mwaka huu kwa CCM utakuwa mzuri sana!

Tukumbuke bado suku 14 tu ili Amsterdam ajiandae kumpokea baby wake akiwa analia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kupokelewa hivyo sio ndio kushinda ndugu...nakuhakikishia hata hapo Lissu awezi mshinda magufuli
 
Lissu sio mpinzani wa kweli bali ni mpinzani mwenye jazba kweli.
 
Yataiba kura tu..dawa yao kuingia road ...mnagawana wengine wanaenda kwenye nyumba za mandata tuone kama watarusha mabomu
 
Kuwa na huruma kijana...mhurumie hata huyu mtoto mdogo aliyebaki akishangaa asiweze kuamini anachokishuhudia kikitendeka
mbele ya macho yake

Ilinganishe hiyo hali hapo juu na hii hapa chini...!



Yaani mkombozi kama huyu ashindwe kwenye sanduku la kura...! Sema tu mtaiba kama ilivyo kawaida ya chama cha mafisadi, CCM!

Hivi Lissu ni kichaa anaendelea kuwatukana akina Magembe wamemmkosea nini Lissu hashindi!!!
 
Na kwa mara ya kwanza unasomeka kuwa CCM, hapana; Magufuli hana nafasi ya kupata ushindi bila ya kufanya figisu.

Magufuli hawezi kushinda kwa kura halali katika uchaguzi huu.

Na hapo atakaponyang'anya ushindi kwa nguvu, miaka ifuatayo itakuwa migumu sana kwa nchi yetu.

Tutakuwa na dikteta kamili kabisa ndani ya nchi hii.
 
Hawa wote kwa makundi yao lazima wamkwamishe Magufuli tarehe 28.10.2020
1.Watumishi wa umma
2.Wafanyabishara
3. Wakulima wa korosho,pamba na kahawa
4.Wahanga wa tetemeko la Kagera
5.Waliomaliza vyuo hawajaajiriwa
6.Wavuvi mliowachomewa nyavu moto
7.Wachimbaji wadogo aliowafukuza Mererani
8.Waliofukuzwa UDOM 2016
9.Waliovunjiwa nyumba KIMARA
10.Wafanyabiashara wa Bureau de change
11.Wanafunzi wa elimu ya juu
12.Makandarasi ambao kazi zao amepeleka SUMA JKT na MAYANGA
13.Watumishi wa TRA na TPA aliopora pesa kwenye akaunti zao
14.Clearing and forwarding aliowapora kazi na kupeleka TASAC

15. Na wasilamu na mashehe wao 170 waliokizuizini miaka zaidi ya sita sasa.
16. Wastaafu wanaodai fao la kujitoa
17. Ndugu wa wahanga waliotekwa , kuuliwa na kupotezwa.
18. Wanyaturu na mtoto wao Tundu Lissu
19. Watengereko na watu wao waliouliwa Kibiti
20. Wenye CCM yao sampuli ya Yusuf Makamba, Kinana, Kikwette nk
 
Sina hakika, kuna siku nilimsikia akisema hajawahi kuwa CCM
Tulikuwa naye UVCCM na akina Guninita, Sukwa Hading'oka, Manara nk

Huyu Tundu Lisu nadhani aliishiaga chipukizi ndio maana ni mtata!
 
Back
Top Bottom