Ushindi wa ICC kwenye ile tuzo ni pigo kwa Samia na genge lake

Ushindi wa ICC ni pigo kubwa sana kwa samia na genge lake kwasababu lazima ICC imkamate na kumshitaki ili kudhihirisha ushind huo sio wa bure. Take it or ignore it but the repercussions will reveal in the future date.
Unashinda uchaguzi kwa kura zote kasoro mbili kisha unawaua wale wawili ambao hawakukuchagua na wengine zaidi ya 500 waliokuchagua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…