Uhuru si mtu was grudge unlike magufuli wakucatch mafeelinga kama cocacola aka dem ana nyeshaMy thoughts.
Sio siri kwamba Magufuli na Kenyatta are not exactly best friends.
Tutegemee mivutano ya kibiashara kati ya heavyweights hizi mbili za EAC kuendelea. Zuia hiki nizuie kile.
Rumor has it Magu alimsupport Raila. If true, lazima Kenyatta atakuwa na kinyongo kwa JPM.
Anywhos.....CHADEMA tumieni urafiki wenu na Uhuru vizuri unaweza kuwasadia 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
My thoughts.

Mivutano iwe au isiwemo, maamuzi ya wakenya yaheshimiwe.My thoughts.

hembu tupe update za protest zinazoendelea huko aseeeUhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Wakenya bila jina la Magufuli hamlali. DuhUhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Tatizo ni bomba la mafuta kutoka Uganda mkuu. Povu linawatoka kama wamekunywa cocktail ya Omo na Jamaa soap.Wakenya bila jina la Magufuli hamlali. Duh
Nimeona wapinzani wa Bongo wanamuita "Baba wa demokrasia Afrika Mashariki"Uhuru yupo simple sana, wewe unafikiria ingekua ni Magufuli asikie kwamba tallying centre za CHADEMA zipo Kenya hapangechimbika??? Uhuru ameskia vyote mnavyofanya huko dhidi yake lakini anaichukulia simple tu maana mwisho wa siku anajua cha msingi kwake ni maslahi ya Wakenya.
Uhuru ameuza sera zake kiasi cha kukubalika hadi kwenye maeneo yaliyotajwa kama ngome za Raila, kitu ambacho sikutegemea kabisa. Yeye amekomaa kuongea kuhusu alichofaulu kutekeleza na anachokusudia kufanya.... Nimeona akisifiwa hadi na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda n.k.
Hana kinyongo wala nini, amefungua mipaka na kuwaachia muje mpige biashara, ipo siku hata alishangaa kwamba binadamu tunawekeana mipaka ilhali nyumbu wanavuka na kugeuza bila vikwazo.
Kuna iliyodaiwa kuwa mlimani city 2015.... wote tunajua kilichotokeaKwani tallying station watu si wanahesabu kura zao, wewe ukigombana kwa hilo basi nia yako ni "kukwiba" kura!